Kwani zile hela mnazojisifia ametoa Mama samia za kujenga madarasa, barabara, miundombinu ya maji, nk. kumbe siyo pesa zake! Na badala yake zinatokana na hizi tozo za simu na pia kodi mbalimbali wanazokatwa wananchi!!Unataka nani atoe hela za kujenga nchi?
At least ungeonyesha hilo ongezeko yani kutoka makato A kwenda BHata nyongeza ya senti hamsini ni maangamizi kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja
Weka facts zako hapaChadema ni kama hamuaminiki Kwa uzushi Kwa sababu Toka July 2025 Serikali imeshusha makato haya ya kwako umeyatoa wapi?
Zamani ukitoa Laki lazima buku 5 ibakie lini Kwa Sasa ni chini ya buku 3
Kwenye ATM ndio kabisaa makato ni kiduchu.
Mwisho Serikali imeshusha VAT kutoka 18% to 16% Kwa miamala ya simu Sasa wewe huu utapeli umeutoa wapi?
itakua unadaiwa gentleman, ulikopa kwenye simu halafu ukasahau.Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?
Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Zaidi ya 10%. Duh!Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?
Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
kajamaa kamekopa mb halafu kakasahau kanadaiwa, baadae kamekopa salio kakanunua MB kisha kakasahau kua kalikua kanadaiwa 🤣Unatumia MB kuangalia Giggy Money akisutana na Diva, acha wakulime
Sisi hatutoi hela ya kujenga nchi,tunatoa hela yakuiwezesha sisiemu iendelee kututawalaUnataka nani atoe hela za kujenga nchi?
sasa ulikuwepooooMbona walitangaza makato kupungua
Zinaenda kuchangua matumizi makubwa ya chama chetuNimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?
Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Na wanasema wamepunguza 16% kuboost e-transactions.Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?
Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Za kujenga nchi ama kulipa viongozi wa ccm na wenza wao?Unataka nani atoe hela za kujenga nchi?
Bado hicho hakipo sawaChadema ni kama hamuaminiki Kwa uzushi Kwa sababu Toka July 2025 Serikali imeshusha makato haya ya kwako umeyatoa wapi?
Zamani ukitoa Laki lazima buku 5 ibakie lini Kwa Sasa ni chini ya buku 3
Kwenye ATM ndio kabisaa makato ni kiduchu.
Mwisho Serikali imeshusha VAT kutoka 18% to 16% Kwa miamala ya simu Sasa wewe huu utapeli umeutoa wapi?
Selcom wakoje kwenye mabandohamia selcom upate mabando