KERO Kuna ongezeko kubwa la makato katika huduma ya fedha kwa simu

KERO Kuna ongezeko kubwa la makato katika huduma ya fedha kwa simu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kukopa ni suspended tax, badala ulipishwe kodi leo ikulemee, serikali inakopa unakuwa unalipa kodi kidogo kidogo
Hoja siyo mikopo bali masharti ya mkopo yakoje? Pascal Mayalla aliwahi kuweka hapa bandiko la jinsi tulivyokopa hela za kujengea mradi wa Bomba la gesi toka Exim Bank ya uchina, mpaka unashangaa ilikuwaje CCM ilikubaliana na masharti ya mkopo kama yale.
 
Na miundombinu inajengwa kwa nywele zako za huku?.. uchaguzi feki kwa kuwa hampo!?
Ufeki wa uchaguzi siyo kwa kuwa CHADEMA hatumo bali Kwa kanuni za uchaguzi zilizoko.

Kwa taarifa yako sehemu kubwa ya miundombinu ya nchi yetu hujengwa ama kwa mikopo ya riba nafuu au mikopo ya kibiashara.

CCM ni mafundi wa kutapanya fedha zinazokusanywa kutokana na Kodi.
 
Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Salio lako jipya ni TSh xxxx. Umetuma pesa kwa Wakala - xxxxxxx xxxxxx kiasi TSh 20,000. Jumla ya Makato TSh 2,156. (Ada TSh 1,850, Tozo TSh 306), VAT TSh 329. Kumbukumbu No.: xxxxxxxxxxx. 13/08/25 19:58. Furahia Punguzo kubwa la bei unapofanya miamala....

Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?

Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
ROSTAM AZIZI NA GENGE LAKE LA KINA SETH
 
Sasa hapo wakulaumiwa ni TRA au kampuni ya simu? ni sidhani ulichoandika kama ni kweli maana sioni mtandao wowote ukichaji hivyo. Benki ya Tanznia mwezi uliopita tu imeweka ukomo wa chaji kwenye miamala ambapo kiwango cha chaji mwisho ni 5,000. Na kwa 20,000 kiwango cha chaji ni 1,000 hivyo kama umechajiwa zaidi ni kinyume na shera dai pesa yako au peleka malalamiko yako Benki ya Tanzania.
 
Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Salio lako jipya ni TSh xxxx. Umetuma pesa kwa Wakala - xxxxxxx xxxxxx kiasi TSh 20,000. Jumla ya Makato TSh 2,156. (Ada TSh 1,850, Tozo TSh 306), VAT TSh 329. Kumbukumbu No.: xxxxxxxxxxx. 13/08/25 19:58. Furahia Punguzo kubwa la bei unapofanya miamala....

Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?

Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Wizi ni wizi tu hata ukirembwa vipi.Ndio tulipofikishwa na viongozi waliokuwa wanajifanya kumwimba Mwl JK Nyerere.
Uhuni wa kuishi kibepari huku tumewaaminisha waTanzania kuwa sisi tunafuata Ndoto za Nyerere..
 
Ufeki wa uchaguzi siyo kwa kuwa CHADEMA hatumo bali Kwa kanuni za uchaguzi zilizoko.

Kwa taarifa yako sehemu kubwa ya miundombinu ya nchi yetu hujengwa ama kwa mikopo ya riba nafuu au mikopo ya kibiashara.

CCM ni mafundi wa kutapanya fedha zinazokusanywa kutokana na Kodi.
😃😃😃 Unarukaruka tu kama una ukurutu
 
We unafikiri ile bilioni 10 aliyotoa pale wataitoa wapi? Wanye mitandao ndio sehemu ya mtandao wenyewe tuendelee tu kula mtori na nyama tutazikuta tu
 
Lipa kodi,mnadhani serikali itapata wapi fedha?..wakikopa kelele,wakiwakata kodi kelele,tz ina watu 70 m,walipa kodi 1.5m,kenya walipa kodi 7m watu 40+m
Shida hawaeleweki wanaitumia kufanyiwa nini, sababu asilimia kubwa ya bajeti inalipa deni,je tuiite watumwa au watu huru
 
Wakatwe mishahara yao kwanza kwa kutuingiza kwenye madeni ya ajabu ajabu
 
Back
Top Bottom