IzimeHi Guys
My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana?
Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo mwanume amsumbue kwenye simu.
Na hataki kumblock coz anaona kama yule atajiskia vibaya and all that Yani
Any advice wapendwa wangu kwa my friend?
Waambie pia namna ya Ku deactivate*21*0754#
msg zitaingia lakini
ukitaka anaepiga aambiwe namba unayopiga haipo
*21*0000#
ntawaambia au unataka na weweWaambie pia namna ya Ku deactivate
me kwangu inakubali koteeeee sijui halotel kwakua siitumiiHii code mkuu sio kwakila mtandao ukumbuke.
Usiogope mtu mkuu, we ogopa Mungu tu, lipa hayo madeni ya watu uishi kwa raha.
Ukimbock mtu anajua sababu simu inasema iko busyNenda Phone[emoji117]Juu Kulia Bonyez kile Kitufe cha Setting[emoji117]Ingia Harassment Filter[emoji117] Switch On i) Block no. not in contacts ii) Block unknown contact..
Hebu jaribu hivyo... kama kuna hiyo options kwa Simu yako!
*21*0754#
msg zitaingia lakini
ukitaka anaepiga aambiwe namba unayopiga haipo
*21*0000#
ni weweHi Guys
My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana?
Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo mwanume amsumbue kwenye simu.
Na hataki kumblock coz anaona kama yule atajiskia vibaya and all that Yani
Any advice wapendwa wangu kwa my friend?
Hii generation Z hii😄😄... Ila sema uandishi wako ni generation Z ya mwisho kabisa ... Yaani umezaliwa hardly 2009..Hi Guys
My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana?
Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo mwanume amsumbue kwenye simu.
Na hataki kumblock coz anaona kama yule atajiskia vibaya and all that Yani
Any advice wapendwa wangu kwa my friend?
Yaani kama mimi nimemind kichizi.Wanaume wakiona hii post wanatamani wakutoboe macho
Mkuu mbona simu zote za kisasa zina hiyo option kwenye setting ya Call setting?Wakishakusaidia na hilo wanisaidie na mimi pia..
Sitaki kupokea namba ambayo haipo kwenye contacts..
Utapishana na magari ya mshahara ww🤔🤔🤔Wakishakusaidia na hilo wanisaidie na mimi pia..
Sitaki kupokea namba ambayo haipo kwenye contacts..
Mnazingua wakuu mtapishana na magari ya mshaharaMkuu mbona simu zote za kisasa zina hiyo option kwenye setting ya Call setting?
Mi ya kwangu nishaiset haipokei namba ngeni.
Muwe mnalipa madeni ya watu kuepuka huu usumbufu.Wakishakusaidia na hilo wanisaidie na mimi pia..
Sitaki kupokea namba ambayo haipo kwenye contacts..
Si aachane nae tu adeal na new babeHi Guys