Kuna option yoyote mtu unaweza kufanya kwenye simu ili mtu akikupigia unakua hupatikani but in reality unapatikana?

Hi Guys
My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana?
Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo mwanume amsumbue kwenye simu.
Na hataki kumblock coz anaona kama yule atajiskia vibaya and all that Yani
Any advice wapendwa wangu kwa my friend?
Izime
 
Nenda Phone[emoji117]Juu Kulia Bonyez kile Kitufe cha Setting[emoji117]Ingia Harassment Filter[emoji117] Switch On i) Block no. not in contacts ii) Block unknown contact..
Hebu jaribu hivyo... kama kuna hiyo options kwa Simu yako!
Ukimbock mtu anajua sababu simu inasema iko busy
 
Mkuu kujitoa kwenye hiyo ya kwanza nafanyaje? Nishapuyanga nilikua natest mitambo simu haziingii
*21*0754#

msg zitaingia lakini

ukitaka anaepiga aambiwe namba unayopiga haipo

*21*0000#
 
Hi Guys
My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana?
Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo mwanume amsumbue kwenye simu.
Na hataki kumblock coz anaona kama yule atajiskia vibaya and all that Yani
Any advice wapendwa wangu kwa my friend?
ni wewe
 
Hii generation Z hii😄😄... Ila sema uandishi wako ni generation Z ya mwisho kabisa ... Yaani umezaliwa hardly 2009..
 
Wakishakusaidia na hilo wanisaidie na mimi pia..
Sitaki kupokea namba ambayo haipo kwenye contacts..
Mkuu mbona simu zote za kisasa zina hiyo option kwenye setting ya Call setting?
Mi ya kwangu nishaiset haipokei namba ngeni.
 
Hi Guys
My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana?
Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo mwanume amsumbue kwenye simu.
Na hataki kumblock coz anaona kama yule atajiskia vibaya and all that Yani
Any advice wapendwa wangu kwa my friend?
Si aachane nae tu adeal na new babe
 
Back
Top Bottom