Kuna pengo kubwa sana la Zawadi Mauya Taifa Stars

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Yule dogo Nivatus ni Mzuri ila anahitaji kuoneshwa namna mpira unaotakiwa kuchezwa. Na mtu pekee hapa Tanzania mwenye uwezo wa kumfundisha mpira dogo Novatus ni Zawadi Mauya.

Pia pengo la zawadi Mua limeonekana kwa kuwa ni aina a mchezaji ambaye hakatiki pumzi kama Mzamiru Yasini.

Ombi langu kwa Benchi la Ufundi la Taifa Stars - Hakikisheni Zawadi Maua a.k.a Rocket Launcher aitwe mara moja ili akawasaidie pale kati.
 
Kwanza watopolo wengi kwenye timu ndio chanzo cha stars kufungwa, mtopolo hatakiwi kuzidi zaidi ya mmoja kwenye first 11. Wakiwa zaidi ya wawili wanaanza kuleta utopolo wao kwenye timu ya taifa.

Lile goli leo ni 100% Kibwana, hafai kabisa na hana hadhi kuchezea timu ya taifa.

Luc Eymael, popote ulipo kunywa chai kwa gharama yako. Maneno yako dhidi ya hawa watu yanaendelea kuishi mpaka leo.
 
Kwanza watopolo wengi kwenye timu ndio chanzo cha stars kufungwa, mtopolo hatakiwi kuzidi zaidi ya mmoja kwenye first 11. Wakiwa zaidi ya wawili wanaanza kuleta utopolo wao kwenye timu ya taifa...
Lile shati pale golini nalo hukuliona Manura ni afadhali akae walau chikumbalaga pale golini,ile butua butua ya ngongoti Boko mwanaharamu wakafanyie huko huko Kwa Makolo Fc,wachezaji gani wale unamlaumu shomari wakati mtu kapigia mpira ilala mpk nyavuni temeke[emoji15] yule Boko si bora Nchimbi[emoji2959]

Kuna yule mkimbizi wenu Makolo nae hana lolote anarukaruka tu kama mahindi ya bisi,bora tungempa uraia Yikpe sio lile fal@[emoji35][emoji2959]...wachezaji wawili tu wa MAKOLO FC walitakiwa wacheze kwenye mechi ya jana pumbavvvv[emoji2959]
 
1633672432064.png
 
A
Kwanza watopolo wengi kwenye timu ndio chanzo cha stars kufungwa, mtopolo hatakiwi kuzidi zaidi ya mmoja kwenye first 11. Wakiwa zaidi ya wawili wanaanza kuleta utopolo wao kwenye timu ya taifa.

Lile goli leo ni 100% Kibwana, hafai kabisa na hana hadhi kuchezea timu ya taifa.

Luc Eymael, popote ulipo kunywa chai kwa gharama yako. Maneno yako dhidi ya hawa watu yanaendelea kuishi mpaka leo.
Asante
 
Dah ila wewe jamaa una manenooo!
 
Huyo zawadi utopolo wenyewe hawamwamini au mnataka kuonekana mna wachezaji wengi wanacheza timu ya taifa, mpimpigia debe kibwana Leo kasababisha goli
Kwa timu kama ile ilitojaa wachezaji wa SImba wa kikosi cha pili, Zawadi Mauya akienda anakuwa Star.
 
Kwanza watopolo wengi kwenye timu ndio chanzo cha stars kufungwa, mtopolo hatakiwi kuzidi zaidi ya mmoja kwenye first 11. Wakiwa zaidi ya wawili wanaanza kuleta utopolo wao kwenye timu ya taifa.

Lile goli leo ni 100% Kibwana, hafai kabisa na hana hadhi kuchezea timu ya taifa.

Luc Eymael, popote ulipo kunywa chai kwa gharama yako. Maneno yako dhidi ya hawa watu yanaendelea kuishi mpaka leo.
Ifikie wakati tuache usimba na uyanga kwenye timu ya taifa. Kwanza kuhusu Mauya binafsi mimi hua simwelewagi na mara nyingi hata ukiingizwa sub kipindi cha pili unaona Yanga wanavyokata upepo. Mauya bado sana, ila kuhusu Kibwana kuwa ndiye chanzo cha goli kisa tu Mwenda katoka na kuchukua nafasi yake hilo nakataa. Kipindi cha kwanza ambapo huyo Mwenda alikuwepo, Taifa stars tungeshafungwa magoli yasiyopungua mawili, ashukuriwe Manura kwa kufanya kazi ya ziada. Kwahiyo hata kipindi cha kwanza huyo Mwenda alizidiwa na Manura kusahihisha makosa ya mabeki wake
 
Kocha kakusikia naona zawadi kaitwa na anaelekea Benin sasa
 
Back
Top Bottom