Lile shati pale golini nalo hukuliona Manura ni afadhali akae walau chikumbalaga pale golini,ile butua butua ya ngongoti Boko mwanaharamu wakafanyie huko huko Kwa Makolo Fc,wachezaji gani wale unamlaumu shomari wakati mtu kapigia mpira ilala mpk nyavuni temeke[emoji15] yule Boko si bora Nchimbi[emoji2959]Kwanza watopolo wengi kwenye timu ndio chanzo cha stars kufungwa, mtopolo hatakiwi kuzidi zaidi ya mmoja kwenye first 11. Wakiwa zaidi ya wawili wanaanza kuleta utopolo wao kwenye timu ya taifa...
Lile shati pale golini nalo hukuliona Manura ni afadhali akae walau chikumbalaga pale golini,ile butua butua ya ngongoti Boko mwanaharamu wakafanyie huko huko Kwa Makolo Fc,wachezaji gani wale unamlaumu shomari wakati mtu kapigia mpira ilala mpk nyavuni temeke[emoji15] yule Boko si bora Nchimbi[emoji2959]
Kuna yule mkimbizi wenu Makolo nae hana lolote anarukaruka tu kama mahindi ya bisi,bora tungempa uraia Yikpe sio lile fal@[emoji35][emoji2959]...wachezaji wawili tu wa MAKOLO FC walitakiwa wacheze kwenye mechi ya jana pumbavvvv[emoji2959]
AsanteKwanza watopolo wengi kwenye timu ndio chanzo cha stars kufungwa, mtopolo hatakiwi kuzidi zaidi ya mmoja kwenye first 11. Wakiwa zaidi ya wawili wanaanza kuleta utopolo wao kwenye timu ya taifa.
Lile goli leo ni 100% Kibwana, hafai kabisa na hana hadhi kuchezea timu ya taifa.
Luc Eymael, popote ulipo kunywa chai kwa gharama yako. Maneno yako dhidi ya hawa watu yanaendelea kuishi mpaka leo.
Dah ila wewe jamaa una manenooo!Lile shati pale golini nalo hukuliona Manura ni afadhali akae walau chikumbalaga pale golini,ile butua butua ya ngongoti Boko mwanaharamu wakafanyie huko huko Kwa Makolo Fc,wachezaji gani wale unamlaumu shomari wakati mtu kapigia mpira ilala mpk nyavuni temeke[emoji15] yule Boko si bora Nchimbi[emoji2959]
Kuna yule mkimbizi wenu Makolo nae hana lolote anarukaruka tu kama mahindi ya bisi,bora tungempa uraia Yikpe sio lile fal@[emoji35][emoji2959]...wachezaji wawili tu wa MAKOLO FC walitakiwa wacheze kwenye mechi ya jana pumbavvvv[emoji2959]
Kwa timu kama ile ilitojaa wachezaji wa SImba wa kikosi cha pili, Zawadi Mauya akienda anakuwa Star.Huyo zawadi utopolo wenyewe hawamwamini au mnataka kuonekana mna wachezaji wengi wanacheza timu ya taifa, mpimpigia debe kibwana Leo kasababisha goli
Hapo sawa. Kama ni kikosi cha pili (team B ya vijana) ya Simba, ni kweli Mauya anaweza akapata nambaKwa timu kama ile ilitojaa wachezaji wa SImba wa kikosi cha pili, Zawadi Mauya akienda anakuwa Star.
Ifikie wakati tuache usimba na uyanga kwenye timu ya taifa. Kwanza kuhusu Mauya binafsi mimi hua simwelewagi na mara nyingi hata ukiingizwa sub kipindi cha pili unaona Yanga wanavyokata upepo. Mauya bado sana, ila kuhusu Kibwana kuwa ndiye chanzo cha goli kisa tu Mwenda katoka na kuchukua nafasi yake hilo nakataa. Kipindi cha kwanza ambapo huyo Mwenda alikuwepo, Taifa stars tungeshafungwa magoli yasiyopungua mawili, ashukuriwe Manura kwa kufanya kazi ya ziada. Kwahiyo hata kipindi cha kwanza huyo Mwenda alizidiwa na Manura kusahihisha makosa ya mabeki wakeKwanza watopolo wengi kwenye timu ndio chanzo cha stars kufungwa, mtopolo hatakiwi kuzidi zaidi ya mmoja kwenye first 11. Wakiwa zaidi ya wawili wanaanza kuleta utopolo wao kwenye timu ya taifa.
Lile goli leo ni 100% Kibwana, hafai kabisa na hana hadhi kuchezea timu ya taifa.
Luc Eymael, popote ulipo kunywa chai kwa gharama yako. Maneno yako dhidi ya hawa watu yanaendelea kuishi mpaka leo.