Kuna pepo likiingia kwenye familia hutafuna vizazi vingi

Kuna pepo likiingia kwenye familia hutafuna vizazi vingi

Hii ni siri kubwa sana mkuu.
Niliwahi kudate na mpenzi kiti cha jini

Simulizi ya Mpenzi Kiti cha Jini: Royal Bar Mwananyamala
 
Niliwahi kudate na mpenzi kiti cha jini

Simulizi ya Mpenzi Kiti cha Jini: Royal Bar Mwananyamala
Duh! wanasemaga "Ukimwona nyani kazeeka ujue kakwepa mishale mingi"
 
Ukitoka au Kuzaliwa ktk familia ambayo tangu Babu wa mababu Hadi wazazi na kaka na dada zako kiukoo hayupo aliyevuka darasa la nne, utaipata vp hiyo unayoita Elimu?
Kwa maombi na sala kiwepo kuikataa kwa dhati hali hiyo unaweza kuivunjilia mbali hiyo laana a.k.a. Pepo la ujinga.
 
Huwezi kunielewesha bila kujua au kuthibitisha UKWELI au uongo ktk nilichoandika.

Mfano, footballer anawezaje kumuelewesha fundi ujenzi jinsi ya kujenga magorofa?
Unaelezea nin shuhuda za uongo hapa unafikria nan anakuelewa na hizo porojo za kutunga😂😂😂.

unaelezea vip uislamu wakati hujui kitu?
 
Kufanya ngono hovyo hovyo wengi wanadhani hatari ni kwenye ukimwi tu. Kuna magonjwa zaidi ya ukimwi na pia mikosi kama ulivyosema. BTW pepo la ngono kama alilonalo mzabzab halimo kwenye list.
Haya mapepo yanayopatikana kwenye ngono yanapatikana africa tuu? Mbona states watu wanapoga porno lakini sijasikia haya mambo ya kubadilishana mapepo kupitia ngono. Ebu tupeni elimu
 
Haisadifu chochote bali ndio kisababishi cha hii post, amekufa lakini hana ndugu wala wazazi, na ameacha watoto wawili lakini hajasema chochote kuhusu baba yao/zao
kibinadamu hatutumi neno kufa,pia ni ngumu kutokua na ndugu wala wazazi nafikiripengine hakuwa na ukaribu nao.
 
Haya mapepo yanayopatikana kwenye ngono yanapatikana africa tuu? Mbona states watu wanapoga porno lakini sijasikia haya mambo ya kubadilishana mapepo kupitia ngono. Ebu tupeni elimu
Unachoonyeshwa ni kile kinachokuhusu tuu..na mafanikio basi.. Mengine yote negative kamwe huwezi kuyaona
 
Back
Top Bottom