antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Kwani amehukumiwa na mahakama tayari?Ndio nasema hao hao waIsrael wamemfungulia mashtaka ya ufisadi na rushwa. Sasa unavyomquote hapo it's as if ni mzalendo au yuko serious kuhusu amani wakati ni obvious ni jizi na wamesema wayahudi wenyewe sio mimi.
Tuhuma ni tuhuma tu, siyo uhalisia.