Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Katika hali isiyo ya kawaida inasemekana Jeshi la Polisi limelala usingizi wa PONO [samaki huyu hulala usingizi wiki mbili mfulilizo kwenye matumbawe].
Hali hiyo imekuja baada ya uwepo wa PIKIPIKI, VESPER NA BAISKELI za kisasa zenye kutumia umeme wa jua na umeme wa maji ambazo huchajiwa.
Swali la kujiuliza: Je, hivi pikipiki hata kama zikikugonga hazina bima wala namba, akikimbia huwezi mkamata, wanabeba mizigo na abiria kama nyingine, tatizo ni sheria ya barabarani haizitambui, sheria tuliyoridhi kwa mkoloni yaani THE ROAD TRAFFIC ACT, ambayo inaelezea chombo cha moto lazma kiwe na injini inayoendeshwa na propeller or mashine, of which hizi ni za umeme.
Rais Magufuli ana nia njema ila ana watendaji wabovu kuliko maelezo, yaani watunga sheria, ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani walipasa kuishauri serikali, WAONDOKE TU RAIS AFANYE MWENYEWE KAMA HAWAWEZI WANASHINDA MITANDAONI KUJIBIZANA KWENYE MITANDAO YA NGONO KWA WIFI YA BURE HUKO MAWIZARANI.
Serikali inakosa mapato mengi kwakuwa hivi vyombo vingesajiliwa vingeingiza mapato kwa taifa.
B