Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Tanzania ina idadi kubwa ya wachawi kuliko nchi nyingi za kiafrika.wachawi,wenye roho mbaya na wenye wivu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunavihitaji hivi vitu sana, mchina anasaidia ila tu visajiliwe.Ila mchina jamani,anasumbua dunia sana...mara taa za barabarani za solar hata ukatike umeme zenyewe zinawakaga tu,mara pikipiki za umeme,,yaani usumbufu juu ya usumbufu,
Serikali ipige marufuku hivi vitu,havitambuliwi na sheria,vitatuletea majanga
Aisee nimemjibu hivyohivyo. Huu ni uchawi mubasharaTanzania ina idadi kubwa ya wachawi kuliko nchi nyingi za kiafrika.wachawi,wenye roho mbaya na wenye wivu.
Lipa kodi kwa maendeleo ya Taifa tracebongoAisee nimemjibu hivyohivyo. Huu ni uchawi mubashara
Mwisho mtasema kuwa sisi wenye wanawake wazuri tulipie ushuruLipa kodi kwa maendeleo ya Taifa tracebongo
TRA, LATRA, POLISI, SIRRO hili jambo ni chanzo cha mapato
Sheria inatungwa na nani?Ndiposa mjue tunalipa watu mishahara wamelala tu maofisini.
Tunahitaji watu wenye kuona mbali, wanasheria wenye weeledi sio wavaa suti za kubana huku kichwani hakuna kitu
0758300300Naomba mawasiliano yao mkuu