Kuna pumba zinaongelewa sasa hivi East African radio kipindi cha michezo

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Dah inatisha kwa kweli wanachambua mshahara wa Messi kuna jamaa anasema kwamba mshahara wa mwezi wa Messi una finance bajeti ya nchi ya Tanzania, dah nimejisikia hata kulia inakuwaje watu ma genius kama sisi hatuna ajira halafu vilaza wako kwenye media wanaongea pumba.

Eti bajeti ya tanzania ni usd milioni 700 ,duh
 
Asubuhi wasafi sport Arena Kuna moja alisema mshahara wa week wa Stephen Curry ni bajeti ya wizara moja hapa kwetu
 
Redioni watangazaji ni kama wapo kijiweni tu. Kucheka cheka hovyo, uongo mwingi, ishakua kazi ya kimazoea tu.
Ukisikiliza wasafi ile asubuhi mpaka unakereka.
Azam media redio yao ina weledi kinoma, napenda sana kuiskiliza asubuhi.

Nilikua sijawahi kusikiliza Wasafi Radio jana nikasikiliza bwana kipindi cha asubuhi kabla zembwela hajaingia aisee nilijiuliza hii ni radio kweli ama kijiwe cha wanywa gongo, watu wanakaa karibia lisaa wanachekacheka tu na makelele ya kijinga tangazo moja linaongelewa karibu dakika 10 tena kwa makelele tu
 
😂😂😂 Mkuu acha kabisa kati ya redia za hovyo kwa habari za asubuhi ni wasafi . Wataitangaza infinix dakika 7, watakuja crdb dakika 7 sijui rangi gani mambo kibao. Watasoma magazeti kwa vicheko hata kwenye habari za vifo na ajali.

Zamani hawakua ivo sijui wamekuaje nowdays aisee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu acha kabisa kati ya redia za hovyo kwa habari za asubuhi ni wasafi . Wataitangaza infinix dakika 7, watakuja crdb dakika 7 sijui rangi gani mambo kibao. Watasoma magazeti kwa vicheko hata kwenye habari za vifo na ajali.

Zamani hawakua ivo sijui wamekuaje nowdays aisee.
Halafu mwisho wa mwezi wanapanga foleni kwenye [emoji763]
Jamani hii Dunia Kuna watu wanaishi maisha ya Raha sana
 
😂😂😂 Ndo ivo mkuu, mtu anaamka asubuhi anaenda kucheka cheka kwa kila neno atalosema zembwela baasii mwisho wa mwezi unakula zako digit 6 mpaka 7.
 
Majuzi nikamsikia mchambuzi wa clouds plus akisema mtu anaeuza viberiti vya sh. 50 na bidhaa zake nyingi faida yake ni sh. 20 anapata wapi pesa za kuinvest kwny Ile timu(Simba).
 
Wale mbwa kwenye magazeti wanakera ni balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikua sijawahi kusikiliza Wasafi Radio jana nikasikiliza bwana kipindi cha asubuhi kabla zembwela hajaingia aisee nilijiuliza hii ni radio kweli ama kijiwe cha wanywa gongo, watu wanakaa karibia lisaa wanachekacheka tu na makelele ya kijinga tangazo moja linaongelewa karibu dakika 10 tena kwa makelele tu
 
Ila wasafi wamezidi aisee, wale jamaa wanacheka kila kitu kwao ni kichekesho [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Majuzi nikamsikia mchambuzi wa clouds plus akisema mtu anaeuza viberiti vya sh. 50 na bidhaa zake nyingi faida yake ni sh. 20 anapata wapi pesa za kuinvest kwny Ile timu(Simba).
Ujinga tu, hajui kuwa anayemuongelea Ni CEO wa MeTL group of companies ( conglomerate).

Kama anavidharau hivyo viberiti hajiulizi hizo pesa za kuendesha Simba SC zinatoka wapi?

Mo kawekeza kwenye Mambo mengi mno, kwa akili za hao hawawezi kutambua ukubwa wa kibiashara wa Mo.
 
Nilivyomsikia anaongea vile sikuona hata haja ya kumlaumu maana wachambuzi wengi wa mipira wao na shule Ni mbalimbali.
 
Ila wasafi wamezidi aisee, wale jamaa wanacheka kila kitu kwao ni kichekesho [emoji23][emoji23][emoji23]
Hamtaki watu wacheke waongeze cku za kuishi jmn, chekeni jmn [emoji23][emoji23]
 
Majuzi nikamsikia mchambuzi wa clouds plus akisema mtu anaeuza viberiti vya sh. 50 na bidhaa zake nyingi faida yake ni sh. 20 anapata wapi pesa za kuinvest kwny Ile timu(Simba).
Eeeh! huyo kinabo atakua ana ubongo wa mende
 
Back
Top Bottom