Kuna pumba zinaongelewa sasa hivi East African radio kipindi cha michezo

Kuna pumba zinaongelewa sasa hivi East African radio kipindi cha michezo

Ila wasafi wamezidi aisee, wale jamaa wanacheka kila kitu kwao ni kichekesho [emoji23][emoji23][emoji23]
Ile radio mda mwingine mashoga wengi Sana mule Yani unasikiliza tangazo mpaka usingizi unakupitia
 
Nilikua sijawahi kusikiliza Wasafi Radio jana nikasikiliza bwana kipindi cha asubuhi kabla zembwela hajaingia aisee nilijiuliza hii ni radio kweli ama kijiwe cha wanywa gongo, watu wanakaa karibia lisaa wanachekacheka tu na makelele ya kijinga tangazo moja linaongelewa karibu dakika 10 tena kwa makelele tu
mimi niliacha kusikiliz hizi redio tangu 2014. nitasikiliza mpira,bcc & then likes,baasi
 
dah inatisha kwa kweli wanachambua mshahara wa messi kuna jamaa anasema kwamba mshahara wa mwezi wa messi una finance bajeti ya nchi ya tanzania,dah nimejisikia hata kulia inakuwaje watu ma genius kama sisi hatujna ajira halafu vilaza wako kwenye media wanaongea pumba
Eti bajeti ya tanzania ni usd milioni 700 ,duh
Mkuu nikiskilizaga hawa wachambuzi uchwara wa bongo waliowengi roho inaniuma sana..
Watu wakuokotwa okotwa tu wanaongea pumba pumba tu
 
Dah inatisha kwa kweli wanachambua mshahara wa Messi kuna jamaa anasema kwamba mshahara wa mwezi wa messi una finance bajeti ya nchi ya tanzania, dah nimejisikia hata kulia inakuwaje watu ma genius kama sisi hatuna ajira halafu vilaza wako kwenye media wanaongea pumba.

Eti bajeti ya tanzania ni usd milioni 700 ,duh
Labda bajet ya serikal ya mapinduzi Zanzibar ila wewe huja sikia vizuri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu acha kabisa kati ya redia za hovyo kwa habari za asubuhi ni wasafi . Wataitangaza infinix dakika 7, watakuja crdb dakika 7 sijui rangi gani mambo kibao. Watasoma magazeti kwa vicheko hata kwenye habari za vifo na ajali.

Zamani hawakua ivo sijui wamekuaje nowdays aisee.
Clouds ndo redio yenye matagazo mengi lakini atleast yanapangiliwa vizuri..wasafi wangekuwa na matangazo mengi kama clouds sijui ingekuwaje
 
Media zinaajiri vilaza plus cheap presenters ili visilipe mishahara mikubwa..
 
Clouds ndo redio yenye matagazo mengi lakini atleast yanapangiliwa vizuri..wasafi wangekuwa na matangazo mengi kama clouds sijui ingekuwaje
Yaah clouds matangazo yao yamepangwa vyema sana, na hata wakichomekea haiwi kama wasafi wanavyofanya, kipindi kinahamia kabisa kuisikfia infinix hot 10 i 😂😂
 
Nilikua sijawahi kusikiliza Wasafi Radio jana nikasikiliza bwana kipindi cha asubuhi kabla zembwela hajaingia aisee nilijiuliza hii ni radio kweli ama kijiwe cha wanywa gongo, watu wanakaa karibia lisaa wanachekacheka tu na makelele ya kijinga tangazo moja linaongelewa karibu dakika 10 tena kwa makelele tu
Eeeh! huyo kinabo atakua ana ubongo wa mende
[emoji23][emoji23]
 
Rudin nyumban Tu clouds ndo kuzur
Hakuna Mambo ya hovyo hovyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu acha kabisa kati ya redia za hovyo kwa habari za asubuhi ni wasafi . Wataitangaza infinix dakika 7, watakuja crdb dakika 7 sijui rangi gani mambo kibao. Watasoma magazeti kwa vicheko hata kwenye habari za vifo na ajali.

Zamani hawakua ivo sijui wamekuaje nowdays aisee.

Yaani nilikasirika nikajisemea siwezi weka tena ile radio
 
Back
Top Bottom