CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Redioni watangazaji ni kama wapo kijiweni tu. Kucheka cheka hovyo, uongo mwingi, ishakua kazi ya kimazoea tu.
Ukisikiliza wasafi ile asubuhi mpaka unakereka.
Azam media redio yao ina weledi kinoma, napenda sana kuiskiliza asubuhi.
😂😂😂 Mkuu acha kabisa kati ya redia za hovyo kwa habari za asubuhi ni wasafi . Wataitangaza infinix dakika 7, watakuja crdb dakika 7 sijui rangi gani mambo kibao. Watasoma magazeti kwa vicheko hata kwenye habari za vifo na ajali.Nilikua sijawahi kusikiliza Wasafi Radio jana nikasikiliza bwana kipindi cha asubuhi kabla zembwela hajaingia aisee nilijiuliza hii ni radio kweli ama kijiwe cha wanywa gongo, watu wanakaa karibia lisaa wanachekacheka tu na makelele ya kijinga tangazo moja linaongelewa karibu dakika 10 tena kwa makelele tu
Halafu mwisho wa mwezi wanapanga foleni kwenye [emoji763][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu acha kabisa kati ya redia za hovyo kwa habari za asubuhi ni wasafi . Wataitangaza infinix dakika 7, watakuja crdb dakika 7 sijui rangi gani mambo kibao. Watasoma magazeti kwa vicheko hata kwenye habari za vifo na ajali.
Zamani hawakua ivo sijui wamekuaje nowdays aisee.
😂😂😂 Ndo ivo mkuu, mtu anaamka asubuhi anaenda kucheka cheka kwa kila neno atalosema zembwela baasii mwisho wa mwezi unakula zako digit 6 mpaka 7.Halafu mwisho wa mwezi wanapanga foleni kwenye [emoji763]
Jamani hii Dunia Kuna watu wanaishi maisha ya Raha sana
Majuzi nikamsikia mchambuzi wa clouds plus akisema mtu anaeuza viberiti vya sh. 50 na bidhaa zake nyingi faida yake ni sh. 20 anapata wapi pesa za kuinvest kwny Ile timu(Simba).
Nilikua sijawahi kusikiliza Wasafi Radio jana nikasikiliza bwana kipindi cha asubuhi kabla zembwela hajaingia aisee nilijiuliza hii ni radio kweli ama kijiwe cha wanywa gongo, watu wanakaa karibia lisaa wanachekacheka tu na makelele ya kijinga tangazo moja linaongelewa karibu dakika 10 tena kwa makelele tu
Ujinga tu, hajui kuwa anayemuongelea Ni CEO wa MeTL group of companies ( conglomerate).Majuzi nikamsikia mchambuzi wa clouds plus akisema mtu anaeuza viberiti vya sh. 50 na bidhaa zake nyingi faida yake ni sh. 20 anapata wapi pesa za kuinvest kwny Ile timu(Simba).
Nilivyomsikia anaongea vile sikuona hata haja ya kumlaumu maana wachambuzi wengi wa mipira wao na shule Ni mbalimbali.Ujinga tu, hajui kuwa anayemuongelea Ni CEO wa MeTL group of companies ( conglomerate).
Kama anavidharau hivyo viberiti hajiulizi hizo pesa za kuendesha Simba SC zinatoka wapi?
Mo kawekeza kwenye Mambo mengi mno, kwa akili za hao hawawezi kutambua ukubwa wa kibiashara wa Mo.
Hamtaki watu wacheke waongeze cku za kuishi jmn, chekeni jmn [emoji23][emoji23]Ila wasafi wamezidi aisee, wale jamaa wanacheka kila kitu kwao ni kichekesho [emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeh! huyo kinabo atakua ana ubongo wa mendeMajuzi nikamsikia mchambuzi wa clouds plus akisema mtu anaeuza viberiti vya sh. 50 na bidhaa zake nyingi faida yake ni sh. 20 anapata wapi pesa za kuinvest kwny Ile timu(Simba).