Kuna pumba zinaongelewa sasa hivi East African radio kipindi cha michezo

Ila wasafi wamezidi aisee, wale jamaa wanacheka kila kitu kwao ni kichekesho [emoji23][emoji23][emoji23]
Ile radio mda mwingine mashoga wengi Sana mule Yani unasikiliza tangazo mpaka usingizi unakupitia
 
mimi niliacha kusikiliz hizi redio tangu 2014. nitasikiliza mpira,bcc & then likes,baasi
 
Mkuu nikiskilizaga hawa wachambuzi uchwara wa bongo waliowengi roho inaniuma sana..
Watu wakuokotwa okotwa tu wanaongea pumba pumba tu
 
Labda bajet ya serikal ya mapinduzi Zanzibar ila wewe huja sikia vizuri.
 
Clouds ndo redio yenye matagazo mengi lakini atleast yanapangiliwa vizuri..wasafi wangekuwa na matangazo mengi kama clouds sijui ingekuwaje
 
Media zinaajiri vilaza plus cheap presenters ili visilipe mishahara mikubwa..
 
Clouds ndo redio yenye matagazo mengi lakini atleast yanapangiliwa vizuri..wasafi wangekuwa na matangazo mengi kama clouds sijui ingekuwaje
Yaah clouds matangazo yao yamepangwa vyema sana, na hata wakichomekea haiwi kama wasafi wanavyofanya, kipindi kinahamia kabisa kuisikfia infinix hot 10 i 😂😂
 
Eeeh! huyo kinabo atakua ana ubongo wa mende
[emoji23][emoji23]
 
Rudin nyumban Tu clouds ndo kuzur
Hakuna Mambo ya hovyo hovyo
 

Yaani nilikasirika nikajisemea siwezi weka tena ile radio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…