Kuna rafiki yangu huwa anafua boxer nakuvaa ikiwa mbichi

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Hivi wanaume tumekuwaje? Tunapenda sana kuwalaum Dada zetu hawasafishi nyeti zao ila hata sisi tunashida kwenye usafi binafsi

Unakuta mtu nguo ya ndani hafui naakifua anavaa ikiwa mbichi bafuni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kuna jamaa angu Leo nimecheka sana kaenda kuoga namsikia anafua ajabu ametoka bafuni nguo aliyokuwa anafua haionekani nikasema hiyo ni boxer kafua na kuvaa ikiwa na mimaji Maji Sasa siatapata fangasi na miwasho
 
Bora kufua boxer na kuvaa kiliko kisifia vifua vya wanaume wenzako na kutamani kuwa shoga

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…