Kuna rafiki yangu huwa anafua boxer nakuvaa ikiwa mbichi

Hivi wanaume tumekuwaje? Tunapenda sana kuwalaum Dada zetu hawasafishi nyeti zao ila hata sisi tunashida kwenye usafi binafsi

Unakuta mtu nguo ya ndani hafui naakifua anavaa ikiwa mbichi bafuni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kuna jamaa angu Leo nimecheka sana kaenda kuoga namsikia anafua ajabu ametoka bafuni nguo aliyokuwa anafua haionekani nikasema hiyo ni boxer kafua na kuvaa ikiwa na mimaji Maji Sasa siatapata fangasi na miwasho
ataugua fangasi
 
Tembea uone huku ujerumani nilikutana na demu ana kazi kubwa tu ya kuheshimika havai nguo za ndani. Nikamhoji akasema huwa harudii nguo pia anajihisi yupo huru akiwa hivyo. Yaani havai sidiria wala nguo ya ndani. Aisee binge la culture shock.
 
At that age unajuaje mwanaume mwenzako kavaa boxer mbichi ama kavu?! Mwanaume mwenzako anavaa boxer mbele yako aiseeh uko comfortable kabsaa unashuhudia mazaga yake we jamaa uko serious kweli?!
 
Back
Top Bottom