fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
ataugua fangasiHivi wanaume tumekuwaje? Tunapenda sana kuwalaum Dada zetu hawasafishi nyeti zao ila hata sisi tunashida kwenye usafi binafsi
Unakuta mtu nguo ya ndani hafui naakifua anavaa ikiwa mbichi bafuni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kuna jamaa angu Leo nimecheka sana kaenda kuoga namsikia anafua ajabu ametoka bafuni nguo aliyokuwa anafua haionekani nikasema hiyo ni boxer kafua na kuvaa ikiwa na mimaji Maji Sasa siatapata fangasi na miwasho
Tembea uone huku ujerumani nilikutana na demu ana kazi kubwa tu ya kuheshimika havai nguo za ndani. Nikamhoji akasema huwa harudii nguo pia anajihisi yupo huru akiwa hivyo. Yaani havai sidiria wala nguo ya ndani. Aisee binge la culture shock.Hivi wanaume tumekuwaje? Tunapenda sana kuwalaum Dada zetu hawasafishi nyeti zao ila hata sisi tunashida kwenye usafi binafsi