lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
- Thread starter
- #81
Hamna sio suala la kuamini,hebu fikiria jamii yote inakuona wewe Ni mtu mashuhuri,maarufu,unaheshimika na watu wengi pengine una biashara kubwa umeajiri watu zaidi ya 150 wanakuheshimu na serikali inakuheshimu kwa kuwa unalipa Kodi vizuri.Unakua huamini amini au???!!
Kuna Raha yake kula mwanamke wa taipu hiyo.Hapo hata viuno kwangu having thamani,Raha yangu Ni hadhi yako,
Kumbuka sizungumzii pesa yako hapa,maana hata Mimi naweza kuwa ninakazi yangu lakini wewe umenizidi pesa,umaarufu na hadhi.