Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida unapenda story kuliko kujenga hoja.Anhaaa nilijua tu na Now I see.
So kumbe wewe ni wale wanaotumia viblog, viwebsites na vitabu uchwara kupingana na vitu vizito kama hivi?
Wewe huna tofauti na wale conspiracy theorists wanaosema corona inasambazwa na 5G.
Now nakupa ushauri wa mwaka ambao hutoupata popote.
Acha kutumia google na viwebsite vyake kutafuta ukweli kuhusu chochote kile. viwebsites ambavyo waanzilishi wake wanatumia ads kupata pesa ya kula.
Duniani most trustable source of information ni Wikipedia sababu mostly wanaoandika sio vichaa wenye njaa.
Wewe ni moja ya wale watu wanaoamini kila kitu mtandaoni na wanaosoma kitu mtandaoni ili waje kupinga tu na kubisha na sio kwa nia ya kujifunza.
Simu ni uhalisia kijana na Sayansi yenye matatizo hasa ni Sayansi ya anga,japo kwa ujumla wake Sayansi inashindwa kwenye hitimisho. Soma nilichokiandika hapo juu.Nakuuliza Swali Jepesi sana na lazima likushinde.
Hiyo simu unayotumia unajua ilipotengenezwa na ilichukua miaka mingapi mpaka kufikia hatua hiyo?
Au uliitengeneza/kuivumbua wewe mkuu?
Nijibu.
Mubarridi
Hoja kuntuWaache kujipa kiki hao jamaa!!Dunia italindwa na yule alieitengeneza Dunia ilivyo!!!!Tena wasije wakafanya yao wakidhani wanatengeneza kumbe ndio majanga yakazidi kwa Dunia!!Hekima ya Binadamu ni upumbavu kwake yeye alieitengeneza Dunia!!WATAJUAJE KAMA HILO JIWE NDIO NGUZO YENYE KANI ISABABISHAYO UTULIVU KWA SAYARI ZOTE???
Sijawahi kuona wstu wajinga kama wa humu jf unakuta unaandika maneno bila kujenga hoja.yaani wewe jamaa sikufichi Ile difinition ya ignorance inaaply kwako 💯%
Hivi hizo dini hua zinawalisha Nini Aisee yaani mnabisha mpaka vitu ambavyo unaona kabisa hapa Sina maarifa navyo,Aisee aliyesema Religion is Opium hakukosea
Kabisa,waarabu wa Mecca wa Karne ya 19 wamewajaza ujinga mwingi vichwani mwenu
Ilihali waarabu wa Mecca wa mwaka 2021 wanaendelea kula vya wamatumbi wajinga from nanjilinji Na hata hawafuati ujuha wenu na walivyo wapiga chenga ya mwili washaamua kuungana na makafiri og
Ndio ujue walivyokuaminisha wao hawavifuati!
Wake up dude!
Kijana shida huna hoja kabisa au huenda wewe ni shabiki wa Sayansi na hujihusishi na Sayansi.Ukisoma comments za humu na ukaambiwa Hawa ni watu wazima wenye makende yaliyokomaa unaweza ukachoka Aisee,
Hivi wabongo aliyewafundisha ujuaji ni nani?
Watu wapo field wanapiga kazi watu Kama nyie kutoka huko Nanjilinji na namtumbo mmeshika simu za android kupinga project za wanaume wa kazi et AAA uongo,chai,haiwezekani,
Kijana jaribu kujenga hoja usilalame.bla bla za Mungu wenu sijui kufuru,wanamjaribu Mungu,Mungu Ndie atakaye tulinda,huo ni mpango wa ibilisi sijui hawatafanikiwa!
Daaaaaaa inasikitisha Sana!
Unasema tuna maujinga na unashindwa kukosoa tunayo yaandika sasa hapa mjinga mani ? Bila shaka mjinga ni wewe.Maujinga tu yapo vichwani mwenu Tena wengine ni members ambao hua naona angalau kidogo akili zenu zinachaji kumbe likija swala la kisayansi lakugusa dini zenu mnajulikana Kwa ujuha wenu
Shwain!
Elimu! Elimu!Elimu!
🤣🤣🤣🤣🤣Katibu UV CCM hatatoa tamko?
Dah,yaani umeamini100%.Hivi unajua hawa hawa ndio waliodanganya wamekwenda mwezini kumbe ilikuwa uongo.Hivi unajua kwamba hawa hawa ndio waliosema Twin Towers New York zimepigwa na terrorists,kumbe wamezipiga wenyewe wakishirikiana na MOSSAD ili waendeleze agenda zao za kishenzi.Na je,hivi unajua ndio hao hao walio ikalia Afghanistan wakidai nia ni ku-stamp out terrorism, kumbe nia ni kufanya biashara ya Cocaine?Je,unajua kwamba ndio hao walio ivamia Iraq wakidai kuna silaha za maangamizi, kumbe ni uongo?Je, unajua kwamba ndio hao hao walioanzisha vita ya I na ya II ya dunia kwa nia ya kufanya biashara ya silaha?Je, unajua ndio hao walio partition Africa ili kuwa-weaken na hatimaye kuwaibia Waafrika?Na je, unajua hao hao ndio waanzilishi wa terrorist organizations worldwide kwa nia ya ku-weakenDart: Mpango wa kulishambulia jiwe kubwa la Dimorphos linalokaribia kugonga dunia wazinduliwa
23 Novemba 2021
Imeboreshwa 24 Novemba 2021
![]()
CHANZO CHA PICHA,NASA / JHUAPL / STEVE GRIBBEN
Chombo cha anga za juu kinachotarajiwa kugonga jiwe moja kubwa linalokaribia dunia kwa kasi kimezinduliwa .
Chombo hicho cha Nasa kwa jina Dart kinataka kubaini ugumu uliopo katika kuzuia jiwe hilo kugongana na dunia.
Chombo hicho kitaligonga jiwe hilo kwa jina Dimorphos ili kujua ni kiwango gani cha kasi yake kinaweza kubadilika.
Iwapo miamba iliopo angani ilio na ukubwa wa mita chache ingegongana na dunia , ingesababisha athari kubwa.
Falcon 9 - roketi inayobeba chombo hicho cha Dart ilipaa mwendo wa saa mbili alfajiri siku ya Jumatano kutoka kambi ya angani ya Vandenberg mjini Carlifonia.
Safari hiyo ya NASA itatathimini pendekezo la muda mrefu la kumaliza mwamba huo ulioko katika anga za mbali unaoelekea kwenye dunia.
Chombo hiki cha anga za mbali kitaanguka kwenye kitu kinachoitwa Dimorphos kuangalia ni kwa kiasi gani kasi na njia yake inaweza kuharibiwa.
Kama kifusi cha cosmic chenye urefu wa mita mia moja kitagongana na sayari yetu, inaweza kusababisha maafa makubwa.
Hili ni jaribio la kwanza la kuzuwia mwamba huu unaozunguka dunia kwa melengo ya kujifunza jinsi ya kuilinda dunia, ingawa aina hii ya mwamba unaolengwa wakati huu sio tisho.
"Dart itakuwa ikibadili kipindi cha uzio(obiti) ya Dimorphos kwa kiasi kidogo.
Na hilo kusema kweli ndio tu linalohitajika katika tukio ambapo mwamba utagundulika kabla ya muda ,"anasema Kelly Fast, kutoka ofisi ya uratibu wa ulinzi wa sayari ya Nasa.
Jumatano, roketi ya Falcon 9 iliyobeba chombo cha anga za mbali cha Dart itapaa kutoka ngome ya anga za mbali ya Vandenberg Space Force Base iliyopo California.
![]()
Miamba inayozunguka jua ni mabaki yanayosalia katika ujenzi wa mfumo wa jua, huku mingi ikiwa haina tisho lolote la hatari kwa sayari yetu. Lakini wakati njia ya mwamba inapoziba njia inayozingira jua inapita ile ya dunia ili vitu viwili viweze kupita kwa wakati mmoja, na hivyo mgongano wa vitu hivi viwili unaweza kutokea.
Safari ya chombo hicho -Dart inayogarimu dola milioni 325 (£240m) italenga miamba miwili ambayo uzio wake unakaribiana - inayofahamika kama binary.
Mwamba mkubwa zaidi kati ya miamba hiyo miwili, unaitwa Didymos , ukiwa na ukubwa wa karibu mita 780 , huku mdogo zaidi ukiitwa Dimarphos-wenye upana wa mita mita 160.
Ukubwa wa Dimorphos unaweza kulipuka kwa kiwango cha nguvu sawa na bomu la nyuklia mara nyingi, na kusababisha maafa katika eneo linalokaliwa na watu wengi na kuwajeruhi makumi ya maelfu ya watu.
Miamba hii inayozingira dunia, mithili ya sayari ndogo(Asteroids) yenye milimita za ujazo 300 na mikubwa zaidi inaweza kusababisha uharibifu mkubwa katika sayari, huku miamba mikubwa zaidi ya kilomita 1 inaweza kusababisha athari kote duniani.
![]()
CHANZO CHA PICHA,NASA
Baada ya kusafiri Dart , kwanza kitaepuka sumaku ya dunia, na kufuata uzio wake kulizingira jua.
Halafu kitazuwia binary kitakapokaribia umbali wa katika eneo la maili milioni 6.7 za dunia Septemba 2022.
Dart kitapasua na kuingia ndani ya Dimorphos kwa kasi ya karibu mita 15,000 kwa saa (6.6 kilomita kwa sekunde). Hii inatarajiwa kubadili kasi ya mwamba huo kwa kasi ya milimita moja kwa sekunde-na matokeo yake kuharibu uzio wake unaozingira Didymos.
Ni mabadiliko madogo sana, lakini inaweza kutosha tu kugonga kitu kinachoenda kugongana na dunia.
![]()
Kuna miamba mingine mingi midogo inayozingira jua kuliko mikubwa na kwa hiyo kuwa na uwezekano wa tisho ambalo tumewahi kukabiliana nalo -kama tutawahi kukabiliana nalo-huenda litakuwa ni kutoka kwa mwamba wenye ukubwa wa aina hii ,"amesema Tom Statler, mwanasayansi anayesimamia safari hii katika Nasa.
Dart kinabeba kamera inayoitwa Draco ambayo itatoa picha za miamba yote inayozingira jua na kusaidia chombo kujiendeleza katika mwelekeo sahihi ili kugongana na Dimorphos.
Takriban siku 10 kabla ya Dart kugonga shabaha yake, chombo cha anga za mbali cha Marekani kitatuma setilaiti ndogo, iliyotengenezwa Italia inayoitwa LiciaCube. Setilaiti hiyo ndogo itatuma duniani picha za tukio, kuondolewa kwa kifusi na shimo lililotokea kutokana na athari ya tukio hilo.
Mabadiliko madogo katika njia ya Dimorphos karibu na Didymos yatapimwa kwa kutumia darubini duniani.
Chombo hicho kina maabara asilia muafaka kwa ajili ya kipimo cha aina hiyo. Kugongwa kwa chombo hicho kutabadili uzio wa Dimorphos uliopo karibu na Didymos kwa takriban 1%, badiliko ambalo linaweza kugunduliwa kwa darubini ya ardhini kwa wiki au miezi kadhaa.
CHANZO CHA PICHA,NASA / JHUAPL / ED WHITMAN
Maelezo ya picha,
Picha ya wakaguzi wamtambo wa miale ya jua wa chombo cha anga za mbali mwezi Agosti
Hatahivyo, iwapo Dart kingejigonga katika mwamba wa wenyewe, muda wake wa uzio unaozunguka Jua ungebadilika kwa karibu 0.000006%, jambo ambalo lingechukua miaka mingi kulipima.
Mwamba wa binary ni mdogo sana kiasi kwamba hata kwa darubini zenye uwezo mkubwa wa kuvuta picha za mbali, huonekana kama nukta ya mwangaza.
Dart: Mpango wa kulishambulia jiwe kubwa la Dimorphos linalokaribia kugonga dunia wazinduliwa

.
You know what they are doing,they are trying to justify safari zao nyingi za kwenda anga za juu kwa visingizio ambovyo sivyo.The truth is, wanatengeneza mazingira ya kumleta their fake Messiah,ambaye wanategemea mimi na wewe tutamwamini.
🤣🤣🤣🤣🤣Hili ni dili la kuchota matrillion kwa kutishiana vitu ambavyo havipo, hapa nchi zote tutachangishwa pesa kwa madai wanarusha makombora ya kulipiga hilo jiwe, kumbe wanarusha sattelite zao tu, na mchango tunalipishwa
Dah,yaani umeamini100%.Hivi unajua hawa hawa ndio waliodanganya wamekwenda mwezini kumbe ilikuwa uongo.Hivi unajua kwamba hawa hawa ndio waliosema Twin Tower New York zimepigwa na terrorists,kumbe wamezipiga wenyewe wakishirikiana na MOSSAD ili waendeleze agenda zao za kishenzi.Na je,hivi unajua ndio hao hao walio ikalia Afghanistan wakidai nia ni ku-stamp out terrorism, kumbe nia ni kufanya biashara ya Cocaine?Je,unajua kwamba ndio hao walio ivamia Iraq wakidai kuna silaha za maangamizi kumbe ni uongo?Je, unajua kwamba ndio hao hao walioanzisha vita ya I na ya II ya dunia kwa nia ya kufanya biashara ya silaha?Je unajua ndio hao walio partition Africa ili kuwa-weaken na hatimaye kuwaibia Waafrika?Na je, unajua hao hao ndio waanzilishi wa terrorist organizations worldwide kwa nia ya ku-weaken
countries na hatimaye baadaye kutekeleza malengo yao ya Kishetani ya kuitawala dunia?Hawa hawa ndio walío muua Raid wao JFKennedy halafu wakadai he was killed by a lone killer,why should you believe them now for anything.Brother hawa watu ni waongo,because their father is Satan,na yeye ndiye baba wa uongo.
You know what they are doing,they are trying to justify safari zao nyingi za kwenda anga za juu kwa visingizio ambovyo sivyo.The truth is, wanatengeneza mazingira ya kumleta their fake Messiah,ambaye wanategemea mimi na wewe tutamwamini.
Dart: Mpango wa kulishambulia jiwe kubwa la Dimorphos linalokaribia kugonga dunia wazinduliwa
23 Novemba 2021
Imeboreshwa 24 Novemba 2021
![]()
CHANZO CHA PICHA,NASA / JHUAPL / STEVE GRIBBEN
Chombo cha anga za juu kinachotarajiwa kugonga jiwe moja kubwa linalokaribia dunia kwa kasi kimezinduliwa .
Chombo hicho cha Nasa kwa jina Dart kinataka kubaini ugumu uliopo katika kuzuia jiwe hilo kugongana na dunia.
Chombo hicho kitaligonga jiwe hilo kwa jina Dimorphos ili kujua ni kiwango gani cha kasi yake kinaweza kubadilika.
Iwapo miamba iliopo angani ilio na ukubwa wa mita chache ingegongana na dunia , ingesababisha athari kubwa.
Falcon 9 - roketi inayobeba chombo hicho cha Dart ilipaa mwendo wa saa mbili alfajiri siku ya Jumatano kutoka kambi ya angani ya Vandenberg mjini Carlifonia.
Safari hiyo ya NASA itatathimini pendekezo la muda mrefu la kumaliza mwamba huo ulioko katika anga za mbali unaoelekea kwenye dunia.
Chombo hiki cha anga za mbali kitaanguka kwenye kitu kinachoitwa Dimorphos kuangalia ni kwa kiasi gani kasi na njia yake inaweza kuharibiwa.
Kama kifusi cha cosmic chenye urefu wa mita mia moja kitagongana na sayari yetu, inaweza kusababisha maafa makubwa.
Hili ni jaribio la kwanza la kuzuwia mwamba huu unaozunguka dunia kwa melengo ya kujifunza jinsi ya kuilinda dunia, ingawa aina hii ya mwamba unaolengwa wakati huu sio tisho.
"Dart itakuwa ikibadili kipindi cha uzio(obiti) ya Dimorphos kwa kiasi kidogo.
Na hilo kusema kweli ndio tu linalohitajika katika tukio ambapo mwamba utagundulika kabla ya muda ,"anasema Kelly Fast, kutoka ofisi ya uratibu wa ulinzi wa sayari ya Nasa.
Jumatano, roketi ya Falcon 9 iliyobeba chombo cha anga za mbali cha Dart itapaa kutoka ngome ya anga za mbali ya Vandenberg Space Force Base iliyopo California.
![]()
Miamba inayozunguka jua ni mabaki yanayosalia katika ujenzi wa mfumo wa jua, huku mingi ikiwa haina tisho lolote la hatari kwa sayari yetu. Lakini wakati njia ya mwamba inapoziba njia inayozingira jua inapita ile ya dunia ili vitu viwili viweze kupita kwa wakati mmoja, na hivyo mgongano wa vitu hivi viwili unaweza kutokea.
Safari ya chombo hicho -Dart inayogarimu dola milioni 325 (£240m) italenga miamba miwili ambayo uzio wake unakaribiana - inayofahamika kama binary.
Mwamba mkubwa zaidi kati ya miamba hiyo miwili, unaitwa Didymos , ukiwa na ukubwa wa karibu mita 780 , huku mdogo zaidi ukiitwa Dimarphos-wenye upana wa mita mita 160.
Ukubwa wa Dimorphos unaweza kulipuka kwa kiwango cha nguvu sawa na bomu la nyuklia mara nyingi, na kusababisha maafa katika eneo linalokaliwa na watu wengi na kuwajeruhi makumi ya maelfu ya watu.
Miamba hii inayozingira dunia, mithili ya sayari ndogo(Asteroids) yenye milimita za ujazo 300 na mikubwa zaidi inaweza kusababisha uharibifu mkubwa katika sayari, huku miamba mikubwa zaidi ya kilomita 1 inaweza kusababisha athari kote duniani.
![]()
CHANZO CHA PICHA,NASA
Baada ya kusafiri Dart , kwanza kitaepuka sumaku ya dunia, na kufuata uzio wake kulizingira jua.
Halafu kitazuwia binary kitakapokaribia umbali wa katika eneo la maili milioni 6.7 za dunia Septemba 2022.
Dart kitapasua na kuingia ndani ya Dimorphos kwa kasi ya karibu mita 15,000 kwa saa (6.6 kilomita kwa sekunde). Hii inatarajiwa kubadili kasi ya mwamba huo kwa kasi ya milimita moja kwa sekunde-na matokeo yake kuharibu uzio wake unaozingira Didymos.
Ni mabadiliko madogo sana, lakini inaweza kutosha tu kugonga kitu kinachoenda kugongana na dunia.
![]()
Kuna miamba mingine mingi midogo inayozingira jua kuliko mikubwa na kwa hiyo kuwa na uwezekano wa tisho ambalo tumewahi kukabiliana nalo -kama tutawahi kukabiliana nalo-huenda litakuwa ni kutoka kwa mwamba wenye ukubwa wa aina hii ,"amesema Tom Statler, mwanasayansi anayesimamia safari hii katika Nasa.
Dart kinabeba kamera inayoitwa Draco ambayo itatoa picha za miamba yote inayozingira jua na kusaidia chombo kujiendeleza katika mwelekeo sahihi ili kugongana na Dimorphos.
Takriban siku 10 kabla ya Dart kugonga shabaha yake, chombo cha anga za mbali cha Marekani kitatuma setilaiti ndogo, iliyotengenezwa Italia inayoitwa LiciaCube. Setilaiti hiyo ndogo itatuma duniani picha za tukio, kuondolewa kwa kifusi na shimo lililotokea kutokana na athari ya tukio hilo.
Mabadiliko madogo katika njia ya Dimorphos karibu na Didymos yatapimwa kwa kutumia darubini duniani.
Chombo hicho kina maabara asilia muafaka kwa ajili ya kipimo cha aina hiyo. Kugongwa kwa chombo hicho kutabadili uzio wa Dimorphos uliopo karibu na Didymos kwa takriban 1%, badiliko ambalo linaweza kugunduliwa kwa darubini ya ardhini kwa wiki au miezi kadhaa.
CHANZO CHA PICHA,NASA / JHUAPL / ED WHITMAN
Maelezo ya picha,
Picha ya wakaguzi wamtambo wa miale ya jua wa chombo cha anga za mbali mwezi Agosti
Hatahivyo, iwapo Dart kingejigonga katika mwamba wa wenyewe, muda wake wa uzio unaozunguka Jua ungebadilika kwa karibu 0.000006%, jambo ambalo lingechukua miaka mingi kulipima.
Mwamba wa binary ni mdogo sana kiasi kwamba hata kwa darubini zenye uwezo mkubwa wa kuvuta picha za mbali, huonekana kama nukta ya mwangaza.
kwahiyo wewe unaona hizo zako ndio hoja?Kijana shida huna hoja kabisa au huenda wewe ni shabiki wa Sayansi na hujihusishi na Sayansi.
Kama ni mtu wa kujishughulisha na elimu usingeandika huu upuuzi wangapi wameishi miaka na mikaka mpaka wanakufa wanajua dunia inazunguka jua au dunia inatanuka ? Lakini ukweli ni kinyume chake ?
Kwahiyo kudumu kwa muda mrefu si hoja ya mtu kupatia katika jambo fulani.
Yaani amshiba ugali huko (Newton au Enstein) anakuja kukwambia kwamba kuna Universal Gravitational Force na kwamba bila hiyo hivyo vitu vingekuwa vinagongana,sasa unajiuliza amelijuaje hilo na hapajawahi kukoseakana au kuonekana vitu vikigongana ? Au kwamba dunia inatanuka halafu mtu huyo amekaa tu ameshiba anawadanganya watu.
Kijana jaribu kujenga hoja usilalame.
Unasema tuna maujinga na unashindwa kukosoa tunayo yaandika sasa hapa mjinga mani ? Bila shaka mjinga ni wewe.
Haoa naona napoteza muda,endelea kushabikia Sayansi sisi tukihoji na kuikosoa Sayansi.kwahiyo wewe unaona hizo zako ndio hoja?
Aisee acha vioja afadhari ya Mimi shabiki wa sayansi kuliko wewe shabiki wa dini!
Unafurahisha Sana Kwa kuandika gazeti reeefu halafu pumba tupu Labda waarabu weusi wenzio ndio hua wanakuelewa!
😁😁😁😁
Sasa sayansi tena leo mnaipiga kiwiko wakati moja ya sifa ambazo mnatumia kuipamba quran ni kuonesha mambo ya sayansi yaliyoelezwa ndani ya hicho kitabu?Haoa naona napoteza muda,endelea kushabikia Sayansi sisi tukihoji na kuikosoa Sayansi.
Shukrani sana. Kazi yangu nimemaliza.