William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
- Thread starter
- #101
Nazungumzia Mara ngapi kesi zilizopo mahakamani!? Lazima tuwe wakweli ukimiya wa Sasa kwa wenye Akili unaleta maswali yenye ukakasi.Yule ni mwanasheria anayejielewa kesi ikishakuwepo mahakamani ni marufuku kuiongelea.......
sasa nyie Alina mayasa hamuwezi kuelewa