jovin malima bulemo
Member
- Sep 11, 2023
- 8
- 4
Kadri miaka inavyo zidi kwenda kunakuwa na ongezeko kubwa la wimbi la vijana wanao tafuta ajira.
% kubwa wengi wanapata ajira wamesha choka miaka ya 35-40.... hapo ana ambuliatu Ela ya kustaafu
Hoja ya msingi serikali ungekuja na mpango kupunguza muda wa kuajiriwa ikawa miaka 10, Kama ilivyo katiba yetu ktk awamu za kugombea raisi

- Kwakufanya hivi italeta chachu watu kubadili mtazamo wa kutafuta ajira na kupelekea vija nguvu kazi ya taifa tojikita ktk uzalishaji kibiashara.
- Kwa kufanya hivi automatically mashule na vyuo vinge badili mitaala ya kukariri na kujikita ktk elimu yenye tija kumsaidia kijana ktk maisha na taifa kuinuza zaidi KIUCHUMI,
- Tatizo la watanzania hatuna ubunifu katika mitazamo ya kuleta madiliko ya KIUCHUMI, tunangoja kuiga na kufanya kwa kuangalia taifa furan
- I wish late JOHN POMBE MAGUFULI angekuwepo hili wako na mtazamo alikuwa nao napenda Sana nchi yangu ikue KIUCHUMI na kubadili elimu za kutesa wanafuzi kusoma vitu visivyo na maana......๐๐๐MUNGU IBARIKI TO TANZANIA.