Kuna Sauti inanijia kwamba huenda wabunge 19 wa CHADEMA wana baraka za Mwenyekiti kwa makubaliano maalumu kutotoboa siri

Katiba ni tati
Tatizo sio katiba mpya clean your house first opposition you need to do some house cleaning of your house but s a COM member I know you don't want to clean your house
katiba ni tatizo kubwa sana mkuu. Maana yake ni hivi kama hii katiba ingekuwa imara hao akina mdee na wenzake wasingekuwa wabunge mpaka hapa tunavyoongea
 
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.

Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika)

Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.

Britannica

Utakuwa ulimaanisha mwenyekiti jiwe.

Hiyo mbona inafahamika.
 
Hapo sasa ndiyo unawataka ccm wakuone wewe ni mchochezi na mpinga maendeleo .

Wanaogopa sana mambo ya katiba mpya
Ukweli lazima tuuweke wazi na usemwe hili taifa kamwe halitapata maendeleo kama tukiikumbatia katiba hii iliopo
 
Tatizo sio katiba mpya clean your house first opposition you need to do some house cleaning of your house but s a COM member I know you don't want to clean your house
kiswahili kingefanya pointi yako ieleweke vizuri
 
Katiba ni tati
katiba ni tatizo kubwa sana mkuu. Maana yake ni hivi kama hii katiba ingekuwa imara hao akina mdee na wenzake wasingekuwa wabunge mpaka hapa tunavyoongea
Sio kweli kuna nyoka kwenye upinzani na hawataki katiba mpya iwe ya nchi au za chama vyao hata za kuweka ukomo

Niliandika mada nyeti ikafutwa chap chap na moderators nakuhakikishia upinzani una kazi ya ku clean their own house kabla kurukia agenda nje ya their own house kuna maneno ndani ya upinzani
 
Sisi tunataka katiba mpya ya nchi wala hatupiganii katiba mpya za vyama unapaswa kulijua hilo. Kama tungekuwa tunapigania katiba za vyama basi tungeanza kupigania mabadiliko ya Katiba mbovu ya CCM ambayo imempa madaraka makubwa mwenyekiti wenu kuamua anachotaka. Ndio maana wakati mwingine anawaminya mnashindwa hata kumshauri.
 
Mbona wabunge hao ndio watakaoiua/ifuta kabisa CHADEMA mkuu 'Britanicca.

Hii nadharia yako ni potofu sana.
 
Dhambi waliyoitenda akina Halima James Mdee kwa Chadema ni zaidi ya ile Yuda Iskarioti alimtendea Yesu Kri
Hebu tuwe wa kweli, hivi Kuna mtanzania yupi ataweza kukataa nafasi ya ubunge? Hata mbowe hawezi kukataa nafasi ya ubunge kwa kufuata msimamo wa kisiasa.
Hivi mnakumbuka jinsi ambavyo tundu lisu alivyopambana asinyang'a ywe ubunge? Unadhani alikuwa anakipambania chadema?? Alikuwa anapambania maslahi binafsi!!
 
Inshort ni kwamba Katiba katiba katiba katiba katiba katiba katiba
Uingereza hawajawahi kuwa na katiba wala Israel haijawahi kuwa na katiba lakini ni nchi zilizoendelea
 
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.

Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).

Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.

Britannica

Naunga mkono hoja. I trust your intuition
 
Uingereza hawajawahi kuwa na katiba wala Israel haijawahi kuwa na katika ziko lakini ni nchi zilizoendelea
Sisi kama Watanzania tunataka katiba mpya. Hatuishi kwa kuangalia uingereza au Israel wanafanya nini au wanaishi vipi hizi ni nchi mbili tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…