DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mbowe hawezi kuwa zoba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katiba ni tatizo kubwa sana mkuu. Maana yake ni hivi kama hii katiba ingekuwa imara hao akina mdee na wenzake wasingekuwa wabunge mpaka hapa tunavyoongeaTatizo sio katiba mpya clean your house first opposition you need to do some house cleaning of your house but s a COM member I know you don't want to clean your house
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika)
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica
Tunacho hofia hii inaweza ikawa gameMbowe hawezi kuwa zoba.
Ukweli lazima tuuweke wazi na usemwe hili taifa kamwe halitapata maendeleo kama tukiikumbatia katiba hii iliopoHapo sasa ndiyo unawataka ccm wakuone wewe ni mchochezi na mpinga maendeleo .
Wanaogopa sana mambo ya katiba mpya
kiswahili kingefanya pointi yako ieleweke vizuriTatizo sio katiba mpya clean your house first opposition you need to do some house cleaning of your house but s a COM member I know you don't want to clean your house
Sio kweli kuna nyoka kwenye upinzani na hawataki katiba mpya iwe ya nchi au za chama vyao hata za kuweka ukomoKatiba ni tati
katiba ni tatizo kubwa sana mkuu. Maana yake ni hivi kama hii katiba ingekuwa imara hao akina mdee na wenzake wasingekuwa wabunge mpaka hapa tunavyoongea
Jiwe naye ni tumbo lake!Upinzani kwa sasa limebaki jina tu hakuna upinzani kwa hivi sasa hao wote wapo kwa ajili ya matumbo yao tu.
Uko sahihi time is the best teacherbritanicca wewe umesikia sauti inakujia.
wapo walioona kwa macho,ni swala la muda tu,itafahamika tu.
Sisi tunataka katiba mpya ya nchi wala hatupiganii katiba mpya za vyama unapaswa kulijua hilo. Kama tungekuwa tunapigania katiba za vyama basi tungeanza kupigania mabadiliko ya Katiba mbovu ya CCM ambayo imempa madaraka makubwa mwenyekiti wenu kuamua anachotaka. Ndio maana wakati mwingine anawaminya mnashindwa hata kumshauri.Sio kweli kuna nyoka kwenye upinzani na hawataki katiba mpya iwe ya nchi au za chama vyao hata za kuweka ukomo
Niliandika mada nyeti ikafutwa chap chap na moderators nakuhakikishia upinzani una kazi ya ku clean their own house kabla kurukia agenda nje ya their own house kuna maneno ndani ya upinzani
Inshort ni kwamba Katiba katiba katiba katiba katiba katiba katibaJiwe naye ni tumbo lake!
Yataongelewa bila vinasa sautiHilo tatizo
Hebu tuwe wa kweli, hivi Kuna mtanzania yupi ataweza kukataa nafasi ya ubunge? Hata mbowe hawezi kukataa nafasi ya ubunge kwa kufuata msimamo wa kisiasa.Dhambi waliyoitenda akina Halima James Mdee kwa Chadema ni zaidi ya ile Yuda Iskarioti alimtendea Yesu Kri
Uingereza hawajawahi kuwa na katiba wala Israel haijawahi kuwa na katiba lakini ni nchi zilizoendeleaInshort ni kwamba Katiba katiba katiba katiba katiba katiba katiba
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica
Sisi kama Watanzania tunataka katiba mpya. Hatuishi kwa kuangalia uingereza au Israel wanafanya nini au wanaishi vipi hizi ni nchi mbili tofautiUingereza hawajawahi kuwa na katiba wala Israel haijawahi kuwa na katika ziko lakini ni nchi zilizoendelea
Mbona chadema wanachukua ruzuku wakati hawatambui matokeo yote?Dhambi waliyoitenda akina Halima James Mdee kwa Chadema ni zaidi ya ile Yuda Iskarioti alimtendea Yesu Kristo!