Kuna Sauti inanijia kwamba huenda wabunge 19 wa CHADEMA wana baraka za Mwenyekiti kwa makubaliano maalumu kutotoboa siri

Kuna Sauti inanijia kwamba huenda wabunge 19 wa CHADEMA wana baraka za Mwenyekiti kwa makubaliano maalumu kutotoboa siri

Ekusema ccm wapo kwa ajili tumbo lako ndio deep reasong.....?Its purely titanic and self-centeredness
Tatizo lako ni moja tu hauna simile kwenye kitu ambacho haujakielewa jaribu kulifuatilia jambo kwanza kabla hujaforce kulijua
 
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.

Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).

Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.

Britannica

Tuseme serikali nayo imeingia kwenye makubaliano hayo na kukubali kulinda siri ya Mbowe na Mdee/Covid 19 hata kwa aibu ya kuonekana ikikiuka katiba wazi wazi!

Ni vyema ueleze pia serikali ina maslahi gani mazito kiasi cha kuisaidia CHADEMA kufanya michezo ya kijinga aina hiyo.
 
Serikali nayo ina Maslahi wapinzani kuwa Bungeni
 
Sio sauti ndio ukweli huo
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.

Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).

Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.

Britannica
 
Mbna hyo inajulikana mkuu , hayo ni makubaliano baina ya Serikali , mdee na watu wake pamoja na Mbowe ...hii ipo was kabisa na action zote alizochukua Mbowe serikali inajua before kwamba lengo lake ni kurestore spirit ya wanachadema huku yeye akijivua lawama .... Japo kuna vipengele vya katiba vitakiukwa ili kufanikisha hili but Serikali imebariki , na hakuna mwanachadema from high command atakayehoji
Kwahiyo serikali imebariki uvunjifu wa katiba ?
 
Hivi tz kuna mtu anaishi kwa hofu?

Hofu ya nini?
Watu wanaopigwa na kuuawa mikononi mwa polisi huwaoni au huwasikii??? mfano ni ishu hii ya juzi tu hapa mbeya huyu dereva alopigwa na polisi mpaka kupoteza uhai
 
Serikali nayo ina Maslahi wapinzani kuwa Bungeni
Mkuu vichwa vingi unavyodili navyo reasoning ipo very low. Angalia maswali wanayouliza majibu yapo wazi sana. Watu hawajui Ila fukuza ya wabunge ilikuwa zuga. Ndugai alisema alipokea barua toka kwa Mnyika ikiwa imesainiwa, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi akadhibitisha. Kama sio kweli mbona Mnyika hajawahi kwenda mahakamani kudai sahihi yake imefojiwa..!???????
 
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.

Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).

Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.

Britannica
Ni sahihi kwa kiwango cha PhD ya korosho.
 
Back
Top Bottom