Kuna Sauti inanijia kwamba huenda wabunge 19 wa CHADEMA wana baraka za Mwenyekiti kwa makubaliano maalumu kutotoboa siri

Upinzani kwa sasa limebaki jina tu hakuna upinzani kwa hivi sasa hao wote wapo kwa ajili ya matumbo yao tu.
Jiwe naye ni tumbo lake!
Inshort ni kwamba Katiba katiba katiba katiba katiba katiba katiba
Lkn akija dictator kama Jiwe, nayo ataivunja. Had it not been for the strong Institutions in the US, Trump would have trodden on their Katiba!
 
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.

Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).

Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.

Britannica
Tupe reasoning!
 
Mbona wabunge hao ndio watakaoiua/ifuta kabisa CHADEMA mkuu '
Sisi kama Watanzania tunataka katiba mpya. Hatuishi kwa kuangalia uingereza au Israel wanafanya nini au wanaishi vipi hizi ni nchi mbili tofauti
Kwa jinsi ulivyoandika wewe utakuwa kiongozi wa juu wa Chadema unayetaka kututoa nje ya mada ya mleta mada

mleta mada ana hoja nzito ambayo wewe unahangaika kutaka ku i divert tuhamie kwingine
 
Jiwe naye ni tumbo lake!

Lkn akija dictator kama Jiwe, nayo ataivunja. Had it not been for the strong Institutions in the US, Trump would have trodden on their Katiba!
Katiba ikiwa strong kiasi kwamba kila mhimili ukajitegemea kimaamuzi basi itakuwa ngumu sana kuivunja hiyo katiba. Angalia Kenya uhuru anavyohangaika kuimodify katiba lakini bado anakutana na ugumu wa aina yake. Nafikiri katiba ya warioba inaweza ikapoza machungu na maumivu tunayoyapitia kwa muda wa miaka zaidi ya hamsini sasa
 
Kwa jinsi ulivyoandika wewe utakuwa kiongozi wa juu wa Chadema unayetaka kututoa nje ya mada ya mleta mada

mleta mada ana hoja nzito ambayo wewe unahangaika kutaka ku i divert tuhamie kwingine
Kipi kinachokufanya useme hivyo ndugu? kwnye hoja tukite hoja na si visirani. Mimi ninachokiona kwa Tanzania yetu hii shida kubwa ipo kwenye mfumo wa kiuongozi ulioletelezwa na katiba mbovu. Sasa nini kimefanya usijibu hoja unishambulie???
 
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.

Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).

Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.

Britannica
Angeongoza vikao vya Chama kuwafukuza?
 
Ukishampa mtu mmoja mamlaka ya kuamrisha polsi, wanajeshi, TISS waue, wateke, wapoteze...then hata Katiba ikawa nzuri vipi , ataivunja. Kinachompa Jiwe kiburi ni silaha za polisi na jeshi, TISS.... short of that watu wangeliandamana na asingelikuwa rais leo
 
Upinzani kwa sasa limebaki jina tu hakuna upinzani kwa hivi sasa hao wote wapo kwa ajili ya matumbo yao tu.
Kwa hyo ccm wapo kwa kwa ajili ya tumbo lako?Comment ya kitoto isiyofikirisha
 
Ndio maana kila siku tunasisitiza katiba itakayozifanya taasisi mbalimbali za kiserikali ziwe huru na ziwe na maamuzi huru ya kiuongozi
 
Ukweli lazima tuuweke wazi na usemwe hili taifa kamwe halitapata maendeleo kama tukiikumbatia katiba hii iliopo
Kenya pamoja na katiba yao nzuri sana ila umasikini umezidi kukita mizizi
 
Tatizo sio katiba mpya clean your house first opposition you need to do some house cleaning of your house but as a CCM member I know you don't want to clean your house
CCM needs to clean up tribalism and nepotism.
 
Kenya pamoja na katiba yao nzuri sana ila umasikini umezidi kukita mizizi
Ni bora kuishi kwenye umasikini Lakini pawepo na amani na uhuru wa kuishi bila hofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…