Ekusema ccm wapo kwa ajili tumbo lako ndio deep reasong.....?Its purely titanic and self-centerednessWewe ndio mtoto kwa sababu hauna deep reasoning
Tatizo lako ni moja tu hauna simile kwenye kitu ambacho haujakielewa jaribu kulifuatilia jambo kwanza kabla hujaforce kulijuaEkusema ccm wapo kwa ajili tumbo lako ndio deep reasong.....?Its purely titanic and self-centeredness
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica
Serikali nayo ina Maslahi wapinzani kuwa BungeniTuseme serikali nayo imeingia kwenye makubaliano hayo na kukubali kulinda siri ya Mbowe na Mdee/Covid 19 hata kwa aibu ya kuonekana ikikiuka katiba wazi wazi!
Ni vyema ueleze pia serikali ina maslahi gani mazito kiasi cha kuisaidia CHADEMA kufanya michezo ya kijinga aina hiyo.
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica
Kwahiyo ccm ndiyo wako kwajili ya wananchi ?Upinzani kwa sasa limebaki jina tu hakuna upinzani kwa hivi sasa hao wote wapo kwa ajili ya matumbo yao tu.
Kwahiyo serikali imebariki uvunjifu wa katiba ?Mbna hyo inajulikana mkuu , hayo ni makubaliano baina ya Serikali , mdee na watu wake pamoja na Mbowe ...hii ipo was kabisa na action zote alizochukua Mbowe serikali inajua before kwamba lengo lake ni kurestore spirit ya wanachadema huku yeye akijivua lawama .... Japo kuna vipengele vya katiba vitakiukwa ili kufanikisha hili but Serikali imebariki , na hakuna mwanachadema from high command atakayehoji
Kama katiba mbovu haiheshimiwi hiyo mpya nani ataiheshimu ?CCM ndio waasisi wa haya yote. Ila dawa ya haya yote ni katiba mpya tu itakayompa nguvu mwananchi kumwajibisha mtumishi yeyote wa umma
Endelea kuwaza ujingaUpinzani kwa sasa limebaki jina tu hakuna upinzani kwa hivi sasa hao wote wapo kwa ajili ya matumbo yao tu.
Hivi tz kuna mtu anaishi kwa hofu?Ni bora kuishi kwenye umasikini Lakini pawepo na amani na uhuru wa kuishi bila hofu
Huu ni mjadala! Kama vipi nenda kasaidie kupika acha wanaojadili wajadiliUna kiherehere, uliulizwa wewe?
Watu wanaopigwa na kuuawa mikononi mwa polisi huwaoni au huwasikii??? mfano ni ishu hii ya juzi tu hapa mbeya huyu dereva alopigwa na polisi mpaka kupoteza uhaiHivi tz kuna mtu anaishi kwa hofu?
Hofu ya nini?
Wewe ndio unakumbatia ujinga. You need to wake upEndelea kuwaza ujinga
mpya itaheshimika kwa sababu kila mhimili utakuwa huru kufanya maamuzi.Kama katiba mbovu haiheshimiwi hiyo mpya nani ataiheshimu ?
Mkuu vichwa vingi unavyodili navyo reasoning ipo very low. Angalia maswali wanayouliza majibu yapo wazi sana. Watu hawajui Ila fukuza ya wabunge ilikuwa zuga. Ndugai alisema alipokea barua toka kwa Mnyika ikiwa imesainiwa, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi akadhibitisha. Kama sio kweli mbona Mnyika hajawahi kwenda mahakamani kudai sahihi yake imefojiwa..!???????Serikali nayo ina Maslahi wapinzani kuwa Bungeni
Sawa mkuuTatizo lako ni moja tu hauna simile kwenye kitu ambacho haujakielewa jaribu kulifuatilia jambo kwanza kabla hujaforce kulijua
Lkn ndiyo ccm hawataki kabisa hata kwa ngumiUkweli lazima tuuweke wazi na usemwe hili taifa kamwe halitapata maendeleo kama tukiikumbatia katiba hii iliopo
Muda ni mwalimu mzuri. Hatuna haja ya kuwa disappointed na hawa ccm wakati u karibu ambapo ukweli utasimama tuombe uzima katiba itakuja tu
Ni sahihi kwa kiwango cha PhD ya korosho.Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica