Kuna Sauti inanijia kwamba huenda wabunge 19 wa CHADEMA wana baraka za Mwenyekiti kwa makubaliano maalumu kutotoboa siri

Kuna Sauti inanijia kwamba huenda wabunge 19 wa CHADEMA wana baraka za Mwenyekiti kwa makubaliano maalumu kutotoboa siri

We ulikuwa kwenye hiyo kikao ya makubaliano au unaongea pumba tu
Sasa mi nimeongea pumba au we ndo umejibu pumba , nilichoongea si ndicho kinaendelea , watu wapo bungeni kinyume na katiba na hakuna anayehoji ... Na ruzuku inapigwa kama kawaida
 
Haya mambo wewe huwezi kuelewa maana ni moja ya wafuasi ambao Mbowe anajivunia sana kuwa nao.

Nitaelewa wapi, ninachoelewa mimi ni kuwa kulikuwa na Mahakama ya mafisadi, kisha ikafungwa maana hakuna mafisadi, ila kila mahali rais akiongea anasema nchi hii ilichezewa sana na mafisadi? Halafu baada ya rais kuongea hayo ninashangilia!
 
Yani unataka ushahidi wa chadema wakichukua ruzuku?

Kwa akili yako tindo unafikiri Mnyika pale alipo anafanya kazi ya ukatibu mkuu bure kwa kujitolea?

Nasema hivi, weka ushahidi ili Mnyika/cdm waaibike. Simple mbona.
 
Utaipata wapi katiba hiyo ? Siyo rahisi kama unavyodhani
CCM ndio waasisi wa haya yote. Ila dawa ya haya yote ni katiba mpya tu itakayompa nguvu mwananchi kumwajibisha mtumishi yeyote wa umma
 
Nitaelewa wapi, ninachoelewa mimi ni kuwa kulikuwa na Mahakama ya mafisadi, kisha ikafungwa maana hakuna mafisadi, ila kila mahali rais akiongea anasema nchi hii ilichezewa sana na mafisadi? Halafu baada ya rais kuongea hayo ninashangilia!
Mbona unajichanganya sana mkuu?

Hapa tunaongelea utapeli wa Mbowe kwenye suala la viti maalumu.
 
Hawana ubavu.
Wanajitutumua tu.
JHN kila siku unaambiwa kwa mujibu wa kanuni chama hakipati ruzuku kutokana na idadi ya viti maalumu bali kutokana na kura za mgmbea urais, wabunge wa majimbo na madiwani hivyo Covid 19 wangekwenda au wabaki wasingebadilisha chochote wale ni maslahi yao binafsi tuu
 
Tatizo sio katiba mpya clean your house first opposition you need to do some house cleaning of your house but as a CCM member I know you don't want to clean your house
Kule chuo kikuu UDSM kulikuwa na kozi inaitwa IGP - Intensive Grammar Program, ulistahili kuisoma hiyo ili umudu lugha ya Kiingereza vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JHN kila siku unaambiwa kwa mujibu wa kanuni chama hakipati ruzuku kutokana na idadi ya viti maalumu bali kutokana na kura za mgmbea urais, wabunge wa majimbo na madiwani hivyo Covid 19 wangekwenda au wabaki wasingebadilisha chochote wale ni maslahi yao binafsi tuu
Kuna asilimia kumi na tano ya viti maalumu
 
Hapa tunaongelea wa Mbowe! Kwanini huo mwingine usianzishie uzi wake?

Sitaki watu wapate shida ndio maana nimeweka kwenye single package. Unafiki hautakiwi kutengwa, wote unatakiwa ukae pamoja.
 
Sio kweli kuna nyoka kwenye upinzani na hawataki katiba mpya iwe ya nchi au za chama vyao hata za kuweka ukomo

Niliandika mada nyeti ikafutwa chap chap na moderators nakuhakikishia upinzani una kazi ya ku clean their own house kabla kurukia agenda nje ya their own house kuna maneno ndani ya upinzani
Hoja yako haipo mbali na ukweli.......

Ukiweka pembeni mihemko ya kisiasa ambayo ndio mtaji wa CHADEMA.....unagundua kuwa hata hao wapinzani si waadilifu kama wanavyojinasibu.........na hoja yao kuu ya kupangua hoja hiyo ni kulinganisha uchafu wa CCM na wa kwao.......

Kifupi upinzani hapa nchini katika uhalisia bado una safari ndefu sana.......achilia mbali kuleta mabadiliko ya nchi bali hata mabadiliko ya kwao tu......
 
..tatizo ni kwamba Halima na wenzake wameingia bungeni kinyume cha sheria.

..na ni bahati mbaya kwamba Spika wa Bunge anashiriki ktk uvunjaji huo wa sheria.
Walikata rufaa ndani ya chama muda mrefu sana, kwanini hiyo rufaa mpaka leo haisikilizwi? Mbona mara nyingi kamati/baraza zilikuwa zinakutana kwa dharura na kutoa maamuzi haraka


Kwanini kamati haikai tangu uchaguzi umekwisha October mpaka leo February? Bunge liwe linawasubiri nyinyi tu? Hampo serious hata kidogo tatizo hamtaki ushauri kuwa mwenyekiti wenu ni kirusi hatari. Muda utaongea
 
Barua kwenda bungeni kuhusu kufutwa uanachama ilipelekwa au laa? Kama ilipelekwa, bunge limechukua hatua gani? Unless hiyo siri iwe kati ya bunge/spika na Mbowe but sio Mbowe na covid 19
 
Ukweli lazima tuuweke wazi na usemwe hili taifa kamwe halitapata maendeleo kama tukiikumbatia katiba hii iliopo

shida kubwa ni mifumo mizuri, tuliowaamini ndo walikuja kukumbatia tena ccm
 
Nataman itokee siku asiwepo hata mwananchi mmoja atakayejitokeza kwenye mikutano ya chadema tenaaaa ili wajue kuwa wananchi wako dissapointed na upinzani kwa kiwango cha hli ya juu
 
Back
Top Bottom