Kuna Sauti inanijia kwamba huenda wabunge 19 wa CHADEMA wana baraka za Mwenyekiti kwa makubaliano maalumu kutotoboa siri

Kuna Sauti inanijia kwamba huenda wabunge 19 wa CHADEMA wana baraka za Mwenyekiti kwa makubaliano maalumu kutotoboa siri

Sio kweli, nchi nyingi tu Afrika vyama tofauti vinakamata madaraka. Achana na hizo sweeping statements.
Bongo njaa tu tumbo kwanza mengine baadae,,, nani hapendi kula kuku kwa mrija
 
Kuwalaumu Cdm kwa sababu ya kina mdee na genge lake si haki kama watu mnakereka kweli na uwepo wa akina mdee bungeni ni heri mngetumia muda wenu kupaza sauti kwa Mamlaka husika hasa ofisi ya jaji mkuu ili majaji watoe hukumu mapema ili tujue mbivu na mbichi haraka
 
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.

Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).

Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.

Britannica
Mimi tangu amuuzie ugombea wa Urais Marehemu Lowasa wa Ccm, nilijikuta nauondoa ushabiki na uungaji mkono wa Chadema na kubakia neutral.

Tangia wakati huo sina imani naye.

Hivi karibuni yaliyo sirini yatajidhihirisha wazi, mbivu na mbichi zitajitenga.
 
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.

Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).

Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.

Britannica
Watu bhana eti ndugu wewe umenda Ukraine kama mercenary..kumbe hupo Tz.
 
Back
Top Bottom