britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
- #241
AmenDhambi waliyoitenda akina Halima James Mdee kwa Chadema ni zaidi ya ile Yuda Iskarioti alimtendea Yesu Kristo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenDhambi waliyoitenda akina Halima James Mdee kwa Chadema ni zaidi ya ile Yuda Iskarioti alimtendea Yesu Kristo!
🤣🤣🤣Chadema na ruzuku ni kama mgonjwa na uji!
Hatari CHADEMA wana Uhuni mwingiHaawaamini macho yao
HakikaHata mimi nawaza hivyo.
Hata lile kanusho la kutopokea ruzuku hata siliamini. [emoji21]
Bongo njaa tu tumbo kwanza mengine baadae,,, nani hapendi kula kuku kwa mrijaSio kweli, nchi nyingi tu Afrika vyama tofauti vinakamata madaraka. Achana na hizo sweeping statements.
Mkuu britanicca , nakuaminia, hicho kisauti unachosikia ndio the voice from within@, nisome hapa Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica
Hakika kabisaMkuu britanicca , nakuaminia, hicho kisauti unachosikia ndio the voice from within@, nisome hapa Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
P
NamDhambi waliyoitenda akina Halima James Mdee kwa Chadema ni zaidi ya ile Yuda Iskarioti alimtendea Yesu Kristo!
MmHawana ubavu.
Wanajitutumua tu.
HakikaMkuu britanicca , nakuaminia, hicho kisauti unachosikia ndio the voice from within@, nisome hapa Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
P
Ukweli ni huoKuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica
Mimi tangu amuuzie ugombea wa Urais Marehemu Lowasa wa Ccm, nilijikuta nauondoa ushabiki na uungaji mkono wa Chadema na kubakia neutral.Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica
Watu bhana eti ndugu wewe umenda Ukraine kama mercenary..kumbe hupo Tz.Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica