DOKEZO Kuna Sh 200 feki, nimekutana nazo mara kadhaa Dar, Serikali iangalie hii

DOKEZO Kuna Sh 200 feki, nimekutana nazo mara kadhaa Dar, Serikali iangalie hii

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Hizi mia mbili zimekuwa nyingi na zinaonekana kama siyo halali, hapo kwenye clip kuna miambili original na feki, sasa feki ziko nyingi tunaomba serikali ifatilie hili maana zimezidi kuwa nyingi.

Feki unazitambua zina mlio kama hela za zaman zile shilingi ,ukizipiganisha na za sasa utaitambua tu mlio wake na pia rangi yake inakuwa hafifu kushinda ya sasa. Hii nimekutana nayo hapahapa Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom