Hizi mia mbili zimekuwa nyingi na zinaonekana kama siyo halali, hapo kwenye clip kuna miambili original na feki, sasa feki ziko nyingi tunaomba serikali ifatilie hili maana zimezidi kuwa nyingi.
Feki unazitambua zina mlio kama hela za zaman zile shilingi ,ukizipiganisha na za sasa utaitambua tu mlio wake na pia rangi yake inakuwa hafifu kushinda ya sasa. Hii nimekutana nayo hapahapa Dar es Salaam.
Hakuna Feki wewe tu umechelewa kujua kama kulishaingizwa ingizo jipya.
Zamani zilikuwa zinatengenezwa kwa copper
Ingizo jipya wametengeneza kwa bati nadhani.