Habar za wakati huu wanaJF?
Binafsi nimekuwa nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni, nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua yakiongoza kwa utam na sukari basi n tikiti lakini haya matikiti ya siku za karibuni hayana ladha wala mvuto wa aina yoyote, kiujumla ukila hauoni kama unakula tikiti.
Nimefahamishwa kua matunda mengi siku hz yanaoteshwa kwa mbegu za maabara na kemikali,basi kama hilo n kweli afya zetu zi mashakani,tujumuike kwa pamoja kutoa maoni na mapendekezo yetu ili hatua stahiki zichukuliwe kuilinda jamii yetu.
Nawasilisha!