Kuna shida gani kwenye matikiti maji ya wakati huu?

JPM alijitahidi kuanza kudhibiti mbegu za kizungu ili kulinda mbegu asilia, hii vita iendelezwe sababu mbegu zitapotea.
 
Nashukuru wengi tumeliona hilo...Mimi napenda sana Matikiti ila ukila halina ladha ile ya miaka ya nyuma..

Ajabu sasa siku hizi wale wauzaji wa vipande vilivyokatwa katwa wanayawashia zile taa nyekundu zisizo na mwanga..ili yaonekane yana wekundu uliokolea[emoji1787]
Subirieni jua liwake utamu utarudi
 
Nashukuru wengi tumeliona hilo...Mimi napenda sana Matikiti ila ukila halina ladha ile ya miaka ya nyuma..

Ajabu sasa siku hizi wale wauzaji wa vipande vilivyokatwa katwa wanayawashia zile taa nyekundu zisizo na mwanga..ili yaonekane yana wekundu uliokolea[emoji1787]
Binafsi ni mpenda matunda hususabi matikiti kwa hili naunga mkono ila kususu swa la taa hapn cjawai ona vip huko kwenu Wana mtindo huo mchukue Hatua ya kuandamana
 
Nashukuru wengi tumeliona hilo...Mimi napenda sana Matikiti ila ukila halina ladha ile ya miaka ya nyuma..

Ajabu sasa siku hizi wale wauzaji wa vipande vilivyokatwa katwa wanayawashia zile taa nyekundu zisizo na mwanga..ili yaonekane yana wekundu uliokolea[emoji1787]
Wakulima wanadai yamezidiwa maji.
 
Back
Top Bottom