Kuna shida gani kwenye matikiti maji ya wakati huu?

Habar za wakati huu wanaJF?

Binafsi nimekuwa nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni, nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua yakiongoza kwa utam na sukari basi n tikiti lakini haya matikiti ya siku za karibuni hayana ladha wala mvuto wa aina yoyote,kiujumla ukila hauoni kama unakula tikiti.

Nimefahamishwa kua matunda mengi siku hz yanaoteshwa kwa mbegu za maabara na kemikali,basi kama hilo n kweli afya zetu zi mashakani,tujumuike kwa pamoja kutoa maoni na mapendekezo yetu ili hatua stahiki zichukuliwe kuilinda jamii yetu.

Nawasilisha!
inawezekana ni mbegu tafauti kama vile ilivyo kwa embe na ndizi
 
Nashukuru wengi tumeliona hilo...Mimi napenda sana Matikiti ila ukila halina ladha ile ya miaka ya nyuma..

Ajabu sasa siku hizi wale wauzaji wa vipande vilivyokatwa katwa wanayawashia zile taa nyekundu zisizo na mwanga..ili yaonekane yana wekundu uliokolea[emoji1787]
Utamu wa matikiti maji hutegemea na aina ya udongo yalipozalishiwa, wingi wa maji yalipokomaa.

Ukienda kununua tikiti maji kama ni zima chagua lile la duara kidogo linakuwa tamu.

Ukichagua refu refu litakuwa siyo tamu ila litakuwa na maji mengi.
 
Habar za wakati huu wanaJF?

Binafsi nimekuwa nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni, nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua yakiongoza kwa utam na sukari basi n tikiti lakini haya matikiti ya siku za karibuni hayana ladha wala mvuto wa aina yoyote,kiujumla ukila hauoni kama unakula tikiti.

Nimefahamishwa kua matunda mengi siku hz yanaoteshwa kwa mbegu za maabara na kemikali,basi kama hilo n kweli afya zetu zi mashakani,tujumuike kwa pamoja kutoa maoni na mapendekezo yetu ili hatua stahiki zichukuliwe kuilinda jamii yetu.

Nawasilisha!
Hizi mvua za el nino ndo sababu
 
Back
Top Bottom