Tango ukiliwekea chumvi tamu sana kuzidi hilo tikitiki la awanu ya Mama KizimkaziUnakula tikiti kama unakula dalanzi au tango....
Pole mkuu. Mimi Huwa napenda wauza matikiti wa Mbezi beach, Goba na Mbezi Magufuli. Wanamatikiti Mazuri, sijui Huwa wanayanunua wapi.Habar za wakati huu wana jf,?
Binafsi nimekua nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni,nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua yakiongoza kwa utam na sukari basi n tikiti lakini haya matikiti ya siku za karibuni hayana ladha wala mvuto wa aina yoyote,kiujumla ukila hauoni kama unakula tikiti,
Nimefahamishwa kua matunda mengi siku hz yanaoteshwa kwa mbegu za maabara na kemikali,basi kama hilo n kweli afya zetu zi mashakani,tujumuike kwa pamoja kutoa maoni na mapendekezo yetu ili hatua stahiki zichukuliwe kuilinda jamii yetu
Nawasilisha!
Bongo nyoso, ukitoka hapo unaenda kula ugali ulowekwa hamila.Nashukuru wengi tumeliona hilo...Mimi napenda sana Matikiti ila ukila halina ladha ile ya miaka ya nyuma..
Ajabu sasa siku hizi wale wauzaji wa vipande vilivyokatwa katwa wanayawashia zile taa nyekundu zisizo na mwanga..ili yaonekane yana wekundu uliokolea[emoji1787]
Tangu ilipoletwa mbegu ya matikiti ya mabaka ya kijani, na siyo yale ya kijani giza, ndipo tulipopoteza utamu wa matikiti.Habar za wakati huu wana jf,?
Binafsi nimekua nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni,nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua yakiongoza kwa utam na sukari basi n tikiti lakini haya matikiti ya siku za karibuni hayana ladha wala mvuto wa aina yoyote,kiujumla ukila hauoni kama unakula tikiti,
Nimefahamishwa kua matunda mengi siku hz yanaoteshwa kwa mbegu za maabara na kemikali,basi kama hilo n kweli afya zetu zi mashakani,tujumuike kwa pamoja kutoa maoni na mapendekezo yetu ili hatua stahiki zichukuliwe kuilinda jamii yetu
Nawasilisha!
😂 kumbe ndio maana likiwa mezani huwa naona lekundu lakini nikifika nalo home ni jeupe.Nashukuru wengi tumeliona hilo...Mimi napenda sana Matikiti ila ukila halina ladha ile ya miaka ya nyuma..
Ajabu sasa siku hizi wale wauzaji wa vipande vilivyokatwa katwa wanayawashia zile taa nyekundu zisizo na mwanga..ili yaonekane yana wekundu uliokolea[emoji1787]
Siyo mbegu,tikiti ukitaka liwe tamu basi wiki kabla ya kulichuma usilimwagie maji,Nafikiri sababu kubwa ni aina ya mbegu zinazozalishwa Kwa wakati huu ukilinganisha na hapo awali.
Hayohayo yenye mabaka baka usipomwagia maji walau wiki kabla ya kuvuna huwa na sukari nyingi tuTangu ilipoletwa mbegu ya matikiti ya mabaka ya kijani, na siyo yale ya kijani giza, ndipo tulipopoteza utamu wa matikiti.
Biashara ikiwekwa sana kwenye kilimo huwa kuna matokeo mengi yasiyokidhi hamu ya mlaji. Tatizo ni hizi mbegu zinazoitwa za muda mfupi.
Ova