Nashukuru wengi tumeliona hilo...Mimi napenda sana Matikiti ila ukila halina ladha ile ya miaka ya nyuma..
Ajabu sasa siku hizi wale wauzaji wa vipande vilivyokatwa katwa wanayawashia zile taa nyekundu zisizo na mwanga..ili yaonekane yana wekundu uliokolea[emoji1787]