Kuna shida gani Tanzania ikitangaza rasmi kuisaidia Congo kupambana na M23? Tuna Viongozi wa namna gani?

That's dumb.

The dumbest idea in Forum's history.

It is an invitation letter to M23 terrorists to slip in and plant incendiary bombs in the Dar es Salaam Rapid Transit buses.

Tanzanian Government and military should immediately butt out of the conflicts in Eastern Congo that are none of our business.
 
Hatuna umaskini wa kiwango hicho. Umaskini wetu ni wa kujitakia.
 
Sasa tunaenda pamoja. Rwanda kuingia Congo kiharamu ndo kutatupa mandate sisi kuingia Congo ili kuondoa uharamia wa Rwanda kwa Congo!
 
Ukute unaandika uzi uko zako bonyokwa ghetto umekula zako ugali na dagaa mchele umeshushua na maji umeshiba ndi!ukiambiwa ushike hata kirungu kwenda huko Congo ni mtihani
Karibu JF.

Unataka nikutumie ticket ya ndege uje Dubai au?
 
Tukijiingiza pale ni hatari kwa taifa letu.
Rwanda anawakana M23 kuwa siyo wake.
Chini ya capet taifa baba yupo pale kupitia mgongo wa Rwanda.
Hivo Tanzania tukiingilia ni kama tumetangaza vita na taifa baba,ambaye atasitisha misaada yake yote kwetu.
Tuombe labda China au Urusi aisaidie Congo kimya kimya hapo kuna mmoja ambaye hataki kujulikana sasa atajulikana
 
Congo haina pesa za kuwalipa wenye uwezo wa kuwasaidia.
Uwezo wanao tena mkubwa kupitia hayo madini,ukifika na kucheki ile aridhi ilivyo na wingi wa madini hasa dhahabu katika hilo eneo,hakika utatoa machozi
 
Tuliingia 2012 tukawafurusha M23! Je tulipata tatizo lolote?
 
We did that in 2012! What did they do?

Au umezaliwa mwaka 2015?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…