Kuna shida gani Tanzania ikitangaza rasmi kuisaidia Congo kupambana na M23? Tuna Viongozi wa namna gani?

Kuna shida gani Tanzania ikitangaza rasmi kuisaidia Congo kupambana na M23? Tuna Viongozi wa namna gani?

That's dumb.

The dumbest idea in Forum's history.

It is an invitation letter to M23 terrorists to slip in and plant incendiary bombs in the Dar es Salaam Rapid Transit buses.

Tanzanian Government and military should immediately butt out of the conflicts in Eastern Congo that are none of our business.
 
Baada ya Vita vya Kagera tukawa hoi bin taaban kiuchumi !
Mwalimu akatuambia tujifunge mikanda kwa miezi 18 hali itarudi kama kawaida !
Akaja Sokoine akatuambia huenda Mwalimu alikosea kidogo kutamka, tunatakiwa kujifunga mkanda kwa miaka 18 😳🙄 !

Vita isikie kwa wenzio !
Sisi bado Masikini tunatakiwa kwanza tueneze nishati safi na salama mpaka vijijini ili watu waache kukata miti kwa ajili ya kupata mkaa wa kupikia !

Vita hapana labda tukivamiwa !
Hatuna umaskini wa kiwango hicho. Umaskini wetu ni wa kujitakia.
 
Taarifa ya UN kuhusu Rwanda na M23 ni kweli, lakini hiyo inathibitisha kuwa Rwanda inaingilia Congo kiharamu na inalaumiwa kimataifa. Tanzania haiwezi kufuata mkondo huo, lazima tuwe mfano wa heshima kwa makubaliano rasmi na serikali ya Congo.

Kuhusu mfano wa Marekani na Kuwait, ni sahihi: Marekani ilitumia nguvu za kijeshi kulinda maslahi yake na kuimarisha uwepo wake wa kudumu. Tanzania inaweza kufanya hivyo, lakini siyo kama mkoloni mpya bali kama mshirika wa Congo. Tukiliberate Mashariki mwa Congo kwa mkataba wa wazi, tunapata maslahi ya madini, biashara, na hata kambi za kijeshi za kudumu.

Hii ni nafasi ya kipekee, lakini si lazima tuiingilie kwa haraka bila mipango. Faida ya kiuchumi inakuja, lakini lazima tufanye kwa ustaarabu ili kulinda taswira yetu na amani ya kikanda.
Sasa tunaenda pamoja. Rwanda kuingia Congo kiharamu ndo kutatupa mandate sisi kuingia Congo ili kuondoa uharamia wa Rwanda kwa Congo!
 
Ukute unaandika uzi uko zako bonyokwa ghetto umekula zako ugali na dagaa mchele umeshushua na maji umeshiba ndi!ukiambiwa ushike hata kirungu kwenda huko Congo ni mtihani
Karibu JF.

Unataka nikutumie ticket ya ndege uje Dubai au?
 
Tukijiingiza pale ni hatari kwa taifa letu.
Rwanda anawakana M23 kuwa siyo wake.
Chini ya capet taifa baba yupo pale kupitia mgongo wa Rwanda.
Hivo Tanzania tukiingilia ni kama tumetangaza vita na taifa baba,ambaye atasitisha misaada yake yote kwetu.
Tuombe labda China au Urusi aisaidie Congo kimya kimya hapo kuna mmoja ambaye hataki kujulikana sasa atajulikana
 
Congo haina pesa za kuwalipa wenye uwezo wa kuwasaidia.
Uwezo wanao tena mkubwa kupitia hayo madini,ukifika na kucheki ile aridhi ilivyo na wingi wa madini hasa dhahabu katika hilo eneo,hakika utatoa machozi
 
Tukijiingiza pale ni hatari kwa taifa letu.
Rwanda anawakana M23 kuwa siyo wake.
Chini ya capet taifa baba yupo pale kupitia mgongo wa Rwanda.
Hivo Tanzania tukiingilia ni kama tumetangaza vita na taifa baba,ambaye atasitisha misaada yake yote kwetu.
Tuombe labda China au Urusi aisaidie Congo kimya kimya hapo kuna mmoja ambaye hataki kujulikana sasa atajulikana
Tuliingia 2012 tukawafurusha M23! Je tulipata tatizo lolote?
 
1738058198405.jpeg
 
That's dumb.

The dumbest idea in Forum's history.

It is an invitation letter to M23 terrorists to slip in and plant incendiary bombs in the Dar es Salaam Rapid Transit buses.

Tanzanian Government and military should immediately butt out of the conflicts in Eastern Congo that are none of our business.
We did that in 2012! What did they do?

Au umezaliwa mwaka 2015?
 
Back
Top Bottom