Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Umaskini ni neno pana kwa family level Kuna county level....Umaskini wetu ni upi mkuu? Au una maanisha umaskini wa akili au umasikini wa viogozi wenye huruma na mali za uma?
Umaskini kwa country level ndio nao uzungumzia Kama hatuwezi kutoa huduma buree za afya , huduma ya maji safi na salama Bado iinatusumbua, Kuna wanafunzi wanakaa Chini sababu ya uhaba wa madawati bila kusahau upungufu wa walimu na vitabu.
Bado kwenye hii nchi Kuna raia wengi hawana uwezo wa ku meet basic needs ambazo ni food, shelter & clothes
Alaf jamaa anashaur twende vitani tuka isaidie Kongo na kuanzisha military base hapo mashariki ya Kongo uoni kua ni recklessness kuenda vita vya jirani wakati wewe mwenyewe hujiwezi...kikubwa twende kusaidia Kongo Kama jumuiya sio Kama Tanzania as Tanzania.
Mfano vita vya somalia Tanzania haikupeleka jeshi somalia Ila wakenya walipeleka na walikipata pata kutoka al shababu