ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Kama
Wengine walikubali Nchi kupewa asilimia 3 kwenye Dhahabu !
Mwamba alisemaga tumepigwa 😳🙄 !
hatujui au hatuwezi kuzisimamia Rasilmali zetu ndio umasikini wenyewe wa kujitakia !Ukisema Tz nchi masikini maana yake hakuna reasource zozote ambazo kivyovyote vile haziwezi kutukwamua na kututoa kwenye umaskini. Imagine nchi yako hii ina madini kila kona,ges mbuga za wanyama na mistu nk halafu pamoja na elimu hizi tulizo nazo tunakubali na kupokea maneno ya wanasiasa ambao wanaimba Tz nchi masikini ili wapige kw mgongo huo miaka 4 tu nyuma jpm alisema nchi hii sio maskini na kweli tuliona sasa hii akili ya kusema sisi ni masikini inatoka wapi mkuu?
Nchi kama libya ilikuwa na mafuta tu lakini Tazama neema waliyokuwa nayo watu wake hayo yote waliyapata kwa sababu ya kuwa na kiongozi makini mwnye uchungu na raia na nchi yake kwa ujumla
Wengine walikubali Nchi kupewa asilimia 3 kwenye Dhahabu !
Mwamba alisemaga tumepigwa 😳🙄 !