A
Anonymous
Guest
Suala la uandikishaji wa darasa la Kwanza, Sera ya Elimu inasema mtoto ataanza shule akiwa na umri wa miaka 6, lakini shule nyingi za Mkoa wa Mbeya zinakataa kuandikisha Wanafunzi wenye miaka 6 hadi 7 kisa tu hawajui kusoma vizuri.
Je, utaratibu huu ni waraka kutoka Serikalini au shule nyingi za Jiji la Mbeya zinajitungia?
Binafsi naona uandikishaji wa Wanafunzi wapya unahujumiwa na baadhi ya Walimu Wakuu ambao wanaendesha shule kwa matakwa yao na siyo kufuata Sera ya Elimu.
Kuna shule za mfano kama Shule ya Msingi Ijombe, Shule ya Msingi Iganjo na Shule ya Msingi Uyole, hiyo ni mifano tu.
Je, mtoto kama hajui kusoma vizuri hadi anafikisha umri wa Miaka 8, bado hataandikishwa?