A
Ni heri ungekomaa na mwanao ajue kusoma kabla hajaanza la kwanza.
Walimu wa s/m siku hizi hawana muda wa kumkazania mtoto ajue kusoma. Wapo busy na mitandao ya kijamii na kulipia vikoba.
Ni namba ndogo sana ya walimu wanaotumikia majukumu yao kama wito. Wengi wao wapo tu kusogeza siku mshahara utoke makato yapite ili wa top-up loan tena!
Sioni umuhimu wa waratibu elimu siku hizi make hawafuatilii majukumu yao ipasavyo.
Siyo kweli mkuu.Mishahara yaiendani na majukumu.
Ndio maana hao waratibu hawasomeshi watoto kwenye shule wanazo ziratibu
Ndugu mzazi ni muhimu kulielewa hilo