Kuna siasa au uhalisia kwenye uvaaji wa Barakoa?

Kuna siasa au uhalisia kwenye uvaaji wa Barakoa?

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Nimekuwa nikijiuliza na kukosa majibu sahihi kuhusu uvaaji wa barakoa kwa kiongozi mkuu wa nchi yetu. Anapokuwa ndani na nje ya nchi.

Mara nyingi akiwa ndani ya nchi huvaa na akiwa nje havai! Pengine wapo wengi wangependa kujua.

Je, inamaanisha nini?

Screenshot_20220711-170950_1657549038698.jpg
Screenshot_20220711-171035_1657549015174.jpg
 
Nimekuwa nikijiuliza na kukosa majibu sahihi kuhusu uvaaji wa barakoa kwa kiongozi mkuu wa nchi yetu. Anapokuwa ndani na nje ya nchi. Mara nyingi akiwa ndani ya nchi huvaa na akiwa nje havai! Pengine wapo wengi wangependa kujua
Je, inamaanisha nini?
Mjombaa nchi ngum Sana hii, anavaa maana anayafaham mengi, usalama kwanza mengine badae
 
If it doesn't make money it doesn't make sense .
 
Ni sawa na akiwa ndani anaposema Corona ipo, tujilinde, labda huko nje anapokwenda haipo ndio maana huwa havai barakoa.

Kulingana na takwimu za wagonjwa wa Corona Tanzania, leo 11 July, toka kwa tovuti yao, wagonjwa wapo 35,768, na vifo vipo 841.
 
Nimekuwa nikijiuliza na kukosa majibu sahihi kuhusu uvaaji wa barakoa kwa kiongozi mkuu wa nchi yetu. Anapokuwa ndani na nje ya nchi. Mara nyingi akiwa ndani ya nchi huvaa na akiwa nje havai! Pengine wapo wengi wangependa kujua
Je, inamaanisha nini?
Unadhani pesa za mabepari zinaliwa burebure enh?!!!
 
Kumbukeni Mama Yenu kashachukua mkopo kwa mabeberu wa Covid... so lazima aonyeshe mfano lakini kila mtu anajua ni maigizo tena ya kitoto sana 😂😂 hao mabeberu wenyewe siku hz hawavai
 
Kumbukeni Mama Yenu kashachukua mkopo kwa mabeberu wa Covid... so lazima aonyeshe mfano lakini kila mtu anajua ni maigizo tena ya kitoto sana 😂😂 hao mabeberu wenyewe siku hz hawavai
Nukta muhimu sana ni kwamba chanjo zilizoingizwa lazima zitumike mpaka ikiwezekana ZIPUNGUE, waagize zingine. Nani atumie basi kama hakuna GIA & GERESHA ya kuonesha tuko kwenye hatari?

Umeelewa au mpaka nitume kapicha kama collateral evidence?
 
Back
Top Bottom