Kuna siasa ndani yake tukio la wasanii kuhusishwa na matumizi ya dawa za kulevya

Kuna siasa ndani yake tukio la wasanii kuhusishwa na matumizi ya dawa za kulevya

Kwenye taarifa hiyo kama hakuna u serious hivi!! Yaani kwenye majina mtuhumiwa anaorodheshwa kwa nickname??? Eti makomeo, mala wengine e kwa jina moja moja!!! Eti grory wa kituo cha kawe kweli??
Mkuu mwenye macho haambiw tazama hapa kuna mchezo unaoendelea ila wajanja wa mjini tushaelewa A to Z

Kesi hiyo haaiendi kokote bali ni kupisha upepo wa matokeo kwanza
 
Kama wameingiza siasa kwenye hiyo biashara sawa tu nampongeza makonda, sawa kabisa acha awataje tu maana watoto wa watu wanazidi kuteketea.. kama ni siasa poa tu maisha yetu ni siasa pia.
Nadhani mleta mada ana mantiki!
suala la madawa ya kulevya lipo, lkn sasa hivi (yaani wiki hii) attention ipo katika ufaulu mbovu wa wanafunzi wa jiji la Dar Es Salaam, mtu kama mkuu wa mkoa husika, alitakiwa awe anatoa majibu ya changamoto iliyojitokeza!
hii list ya madawa ya kulevya haijaenda jana ofisini kwake, ipo for centuries, sasa anapoibuka na urgency ktk issues zilizokuwa pending kwa miaka kumi, ni kweli anafanya diversion ya mada!
jamaa anapandanisha CD sasa hivi hatujui mziki gani uchezwe, kama singeli au blues!
 
Nadhani kuna umuhimu wa kufuta vyama vya upinzani.. Sioni hasa mantiki ya uwepo wake kama wanasiasa wenyewe ndio hawa
 
Mimi Nimechoka kusikia Majina ya Polisi yanatajwa kwa jina moja as if Hawajulikani au hawajahakiki TIN zao!
 
Dar es salaam sasa imepata mkuu wa mkoa mpumbavu tangu kuanza kwa Dunia. Dotopile Mzuzuri alikuwaga kichekesho huyu ndio kibisa kabisa huyu.
 
Dar es salaam sasa imepata mkuu wa mkoa mpumbavu tangu kuanza kwa Dunia. Dotopile Mzuzuri alikuwaga kichekesho huyu ndio kibisa kabisa huyu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakuu kwa ninachokiona kwa sasa kwa hili tukio la wasanii kuhusishwa na matumizi ya dawa za kulevya ni kutaka kuondoa attention ya watu kuhusu;

1)matokeo mabovu ya wanafunzi wa kidato cha nne hasa wa dar es salaam

Kwa kuwa si hali ya kawaida kwa kweli

2)kuondoa attention ya watu na kuwasahaulisha kabisa kuhusu sekeseke linaliendelea kwa sasa bungeni

Hii ndio tabia ya viongozi wa nchi wakiona wamebanwa haswaa basi watatengeneza tukio la kisiasa ili kuondoa attention iliyopo katika jamii

Mfano kuhusu ugonjwa wa dengue , kiuhalisia huu ugonjwa haukuwepo ila zimetengenezwa figisu figisu ili kufanya tukio fulani la kisiasa lipite

Hali kadhalika ugonjwa kama ebola haukuwepo nchini ila kwa ajili ya kuondoa attention ya watu waliutangaza kwa nguvu zote ili kupisha upepo wa kisiasa upite

Hivyo basi rai yangu ,

Wananchi msielekeze nguvu zenu kuhusu hawa akina wema na wasanii wengine kesi haitakwenda kokote bali ni kuzubaisha watu wasahau matokeo mabovu ya kidato cha nne na mambo yanayoendelea bungeni

Wewe hujajiuliza kwa nini hili suala limekuja ghafla hivyo? Kwani hapo zamani walikuwa hawajui kuwa wanatumia dawa za kulevya kama vile Chidy benzi kwa nini walikaa kimyaa?

Ukishajiuliza natumai utapata jibu sahihi

Mwenye macho haambiwi tazama wala mwenye maskio haaambiwi sikia

Tchaoooo
Wewe ni mdau ambaye umesahaulika nini, kuna nini kinachoelezea siasa? Watanzania wengi ni wapiga dili,mwisho wenu umefika.
 
Shemeji yenu Petit Man amekamatwa na mzigo kabisa mmeanza kulia-lia,
Pia DJ wenu wa WCB Rommy Jones naye amekamatwa na mzigo ndiyo maana vijana wa WCB mmemchukia Makonda ghafla.
 
Kwenye system ya kila serikali kuna watu wanaitwa spin doctors, hawa kazi yao kubwa ni kubadili upepo wa hali ya nchi muda wowote.
Wanaweza change attention ya millions of people in a second.!
..kwa namna flan mleta mada anaweza kuwa anajua hii kitu.
 
Anatuzubaisha tu huyu, majina alikuwa nayo Jakaya, naamini hadi leo yapo, kama ana nia ya dhati ya kupambana na hii kitu aende ikulu akachukue hayo majina ya wauza madawa wakubwa aanze kupambana nao, sio kuhangaika na akina TID akituaminisha anapambana na drug dealers, huu ni utani wa kiwango cha lami.
 
Hivi hawa wasanii si ndo walikuwa wapiga debe no.1 wa chama fulani mwaka juzi? Unamtumia mtu mwovu kupata mkate halafu ukishashiba unakuja kututangazia uchafu wake? Kwani wakati unamtumia hukumuona ana uchafu au ndo ya baniani mbaya? Wamesahau kampeni ya "mama mkanye mwanao vinara walikuwa kina nani? Au tuamini na chama nacho kinachunguzwa kwa kushirikiana na madalali wa unga?
 
Wakuu kwa ninachokiona kwa sasa kwa hili tukio la wasanii kuhusishwa na matumizi ya dawa za kulevya ni kutaka kuondoa attention ya watu kuhusu;

1)matokeo mabovu ya wanafunzi wa kidato cha nne hasa wa dar es salaam

Kwa kuwa si hali ya kawaida kwa kweli

2)kuondoa attention ya watu na kuwasahaulisha kabisa kuhusu sekeseke linaliendelea kwa sasa bungeni

Hii ndio tabia ya viongozi wa nchi wakiona wamebanwa haswaa basi watatengeneza tukio la kisiasa ili kuondoa attention iliyopo katika jamii

Mfano kuhusu ugonjwa wa dengue , kiuhalisia huu ugonjwa haukuwepo ila zimetengenezwa figisu figisu ili kufanya tukio fulani la kisiasa lipite

Hali kadhalika ugonjwa kama ebola haukuwepo nchini ila kwa ajili ya kuondoa attention ya watu waliutangaza kwa nguvu zote ili kupisha upepo wa kisiasa upite

Hivyo basi rai yangu ,

Wananchi msielekeze nguvu zenu kuhusu hawa akina wema na wasanii wengine kesi haitakwenda kokote bali ni kuzubaisha watu wasahau matokeo mabovu ya kidato cha nne na mambo yanayoendelea bungeni

Wewe hujajiuliza kwa nini hili suala limekuja ghafla hivyo? Kwani hapo zamani walikuwa hawajui kuwa wanatumia dawa za kulevya kama vile Chidy benzi kwa nini walikaa kimyaa?

Ukishajiuliza natumai utapata jibu sahihi

Mwenye macho haambiwi tazama wala mwenye maskio haaambiwi sikia

Tchaoooo
Mkuu na wewe ni mmoja Kati ya waliokamatwa Au kuguswa maslahi yako
 
Wanafunzi kufeli wameanza leo? Kwa ambae keshakaa na hawa watoto hasa wa shule za kata atanielewa nini nazungumza. Vita dhidi ya madawa imeanza jana na Makonda? Au ulitaka wapewe grace period ya kujisalimisha kama wakwepa kodi? Kuwa na akili mara nyingine, nimeisikiliza vizuri sana kipande ya video niliyotumiwa, hawa wasanii wanatuhumiwa, kama hujui maana ya tuhuma bas omba msaada uelekezwe. Ila ni nani Kinondoni asiyejua TID kuwa ni pusha mdogo na mtumiaji? Nan asiyejua Nyandu kuwa ndo biz yake? Tuache ushabiki
 
Back
Top Bottom