Kuna Siku CCM watalia na kusaga meno

Kuna Siku CCM watalia na kusaga meno

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Kuna siku inakuja naam naiona inakaribia! Tambo za CCM zitatupwa chini na hawataamini kitakachowapata. Siku inakuja Polisiccm wote watashangaa wasiamini anguko lao.

Ni suala la muda tu, CCM your days are numbered. Take it from me nawaambia! Kila kitu kitawakataa. Sijawahi kusema neno na lisitimie.

Nikiwa hai au mfu mtayakumbuka haya maneno. Ringieni Polisi na Usalama kwa Mara ya mwisho mwisho. Nasema ringeni na Polisi kwa Mara ya mwisho mwisho.

I am done
 
Wameishatumia Polisi, Wanajeshi, Usalama Wa Taifa, JKT na mpaka kukodi vijana. . . Wameishaua watu, wameishatia vilema watu, wameisha dhulumu watu, wameisha funga watu bila hatia, wameisha danganya, wameishaonea watu, wameisha filisi watu, wameisha hujumu taifa, wameisha kamata na kufunga viongozi wa kiroho.

Ila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho.

● Pharao yuko wapi na jeuri aliokua nayo mpaka kufikia hatua akajiita yeye ni mungu?

● Adolf Hitler na Chama Chake wako wapi waliokua wakiitikisa ulaya na dunia?
 
Tatizo makamanda ni waoga sana, Mkiti anakamatwa bila hata kufuata utaratibu kama kibaka nyie mnaishia kuandika jf, mmeshindwa hata kukusanya watu elfu 10 tu kuingia mtaani kumdai Mkiti? Hao waTZ wanaowaunga mkono wako wapi?
 
Hiyo itatokea baada ya miaka Mia siyo kwa uwoga na unafki huu tuliyonawo sasa.
 
Tatizo makamanda ni waoga sana, Mkiti anakamatwa bila hata kufuata utaratibu kama kibaka nyie mnaishia kuandika jf, mmeshindwa hata kukusanya watu elfu 10 tu kuingia mtaani kumdai Mkiti? Hao waTZ wanaowaunga mkono wako wapi?
Don't argue with a fool

IMG_20210720_092900.jpg
 
Kuna siku inakuja naam naiona inakaribia! Tambo za CCM zitatupwa chini na hawataamini kitakachowapata. Siku inakuja Polisiccm wote watashangaa wasiamini anguko lao.

Ni suala la muda tu, CCM your days are numbered. Take it from me nawaambia! Kila kitu kitawakataa....
Sijawahi kusema neno na lisitimie.

Nikiwa hai au mfu mtayakumbuka haya maneno. Ringieni Polisi na Usalama kwa Mara ya mwisho mwisho. Nasema ringeni na Polisi kwa Mara ya mwisho mwisho.

I am done
Nilidhani unaandamana field kumbe uko kwenye key board!!
 
Kuna siku inakuja naam naiona inakaribia! Tambo za CCM zitatupwa chini na hawataamini kitakachowapata. Siku inakuja Polisiccm wote watashangaa wasiamini anguko lao.

Ni suala la muda tu, CCM your days are numbered. Take it from me nawaambia! Kila kitu kitawakataa....
Sijawahi kusema neno na lisitimie.

Nikiwa hai au mfu mtayakumbuka haya maneno. Ringieni Polisi na Usalama kwa Mara ya mwisho mwisho. Nasema ringeni na Polisi kwa Mara ya mwisho mwisho.

I am done
Dua la kuku!!
 
AMEN!
 
Back
Top Bottom