Kuna Siku Itafika Kazi Zitakua Nyingi Hutajua Uchague Ipi

Sawa mkuu mimi ndiye ulienizungumzia hapo sina dira, ingiza chochote kitu kwenye Airtel money yangu nipate nauli ya kwenda interview
 
Umeandika ushuhuda wa safari ya maisha yako, ni ushuhuda mzuri lakini sijaona lengo la kushambulia watu wanaoshinda/kuandika mada JF kwamba hawana majukumu.

Nini tafsiri ya "majukumu" kwako? Mtu mwenye majukumu ni yule ambaye hana muda hata wa kuingia youtube kuangalia mziki?

Unapaswa kuelewa majukumu yanatofautiana, inawezekana kazi zako ni za kukimbizana hupati muda na kuna mwezako kazi yake yeye ni kuamka kuingia ofisini saa 2 asubuhi, kujibu emails mpaka saa 4, kwenda kwenye meeting mpaka saa 6, anamaliza anakaa saa 1 kusubiri mda wa lunch, anamaliza anafanya online meeting mpaka saa 9 mchana anatoka anaenda home.

Kuona watu wako JF sio kwamba hawajali results za ofisi zao, pengine wanadeliver good results kwa ofisi zao kuliko wewe unavyodeliver results kwenye ofisi yako, hii yote ni kutokana na utofauti wa kazi/majukumu.

Andika stori ya maisha yako bila kuingilia/kucriticize uhuru wa maisha ya wengine nadhani ndio ustaarabu na kuonyesha umekomaa kifikra.
Dah nimelitamani hilo life lko la kuishi kwa kalamu
Dah kweli hatufanani kabisaaa

Hhhhhhhhhhhh
 
Soma tena vizuri nilichoandika, hakuna sehemu nimesema life langu ni la kuishi kwa kalamu.
 
Uzi nzuri lakini umekosea kutunanga sisi tunaoshinda jf 24 Hrs, Mimi Ni mwalimu , nafundisha civics kidato Cha kwanza na Cha tatu kwa ujumla wa mikondo minne, kwa idadi ya vipindi 8 kwa wiki, inaweza tokea siku mbili mfuatano sijaingia class, kwahiyo acha kutusemea, majukumu yako si yetu, pambana
mpwayungu village teacher huyu hapa
 
Mimi siyo mzuri kuelezea maisha yangu mtandaoni, leo nitajitahidi.

Nilimaliza chuo 2016. Nikawa sina ajira, kwakua kozi yangu haitambuliki serikalini, nikajiajiri kwa kufungua game centre. Ilitoa pesa ya kutosha kabla ushindani haujaongezeka.

Hata hivyo kama binadamu wengine sikua nimeridhika na kujiajiri kwakua kujiajiri kunahitaji resources nyingi mno. Achana na wadau wa JF wanaodai ukijiajiri unaweza ukaamua usiende kazini, wakati usipoenda ujue siku hiyo huli (hii ni kwa mitaji ya chini ya 5M) na kujiajiri means faida na hasara zote ni matokeo ya juhudi zako.

So niliendelea kusaka ajira pia. Humu jF kuna watu wanaandika sana unaweza hisi ni msaada kwako lakini niamini mimi hakuna kitu kama hicho, sana sana utatapeliwa tu kama baadhi ya members.

Anyway, nishahudhuria interview TTCL wakanipigia simu kuconfirm taarifa zangu wakasema wataniita hiyo ni hadi leo. Ilikua 2019. Nilifanya training na Jamii media (JamiiForums) ambayo ililenga kua na online reporters ila sikurudi tena kutokana na sababu mbalimbali.

2019 mpaka 20 mwanangu aliumwa nikaua mtaji, nikaacha hata kutafuta ajira, nikawa nimefocus na mtoto.

Muda wote mama yangu ananiambia "Subiri wakati sahihi utafika zitakuja kazi mpaka hutajua uchague ipi" anyway 2022 ikaja nikapata ajira sehemu fulani mshahara laki 5 baada ya miezi miwili naambiwa mshahara inabidi upunguzwe.

Two kids, a wife na wazazi nikajikuta nanyong'onyea hata sikuaga pale, nikawa tu nashinda ndani, April nikaenda Dom kuhudhuria interview za utumishi, nikapita mpaka oral ila bahati mbaya post sikupata. May mwaka huu mshkaji wangu fulani akaniambia kuna ofisi yao mpya bado inataka watu. Nikaenda.

Ofisi ilikua na watu 20 tu mshahara wa kama nilipotoka. Ila tukaambiwa ina mpango wa kukua zaidi. Pale ofisini wakataka foremen, mi najamaa tukaapply, tukapita.

Mshahara ukapanda, na majukumu yakapanda na nikajikuta hata kuingia kwenye mitandao inakua ngumu. Hata hawa wanaodai hawawezi kuishi bila JF ni vile hawana majukumu tu, hata hawa wanaondika mada kila siku ni hawana majukumu au labda ni mabosi haswa ambao hawajali results za ofisi zao.

Ofisi imeajiri watu zaidi ya 200. Yaani naweza sema ni inakua kwa kasi, hivyo na mimi natarajia nikue nayo. Jumanne ya wiki hii nikatafutwa na rafiki yangu fulani akaniambia ofisini kwao kuna nafasi ipo wazi, hii nafasi ina mshahara mkubwa kuzidi hapa ila haina title kama niliyonayo hapa.

Halafu unajua kilichotokea? Kesho yake nafika ofisini nagewa barua ya kua appointed msimamizi wa kitengo kingine. Mshahara ukaongezwa ukafanana na nilipoambiwa kuna nafasi.

Leo mimi nakua na option ya kazi? Nikachoka.

Tangu siku hiyo nafikiria nini niamue? Ikiwa ofisi mpya entry level salary yao ni sawa msimamizi wa kitengo hichi this means nikifanya poa nikaenda juu salary itakua tamu zaidi.

Hapohapo naona kua hii kampuni ni mpya within five months mshahara umelingana na entry level wa kampuni kongwe but it means nikibaki na kukua nayo nitaweza structure vitu vingi.

Hapo ndiyo nikakumbuka usemi wa mama "Itafika siku kazi zitakuja utashindwa jua uchague ipi"

Wito wangu kwa mpambanaji mwenzagu. Usikate tamaa, danganya ikiwezekana, omba Mungu ukitaka nenda kwa waganga. Humu JF hakuna anayejua ulichokula wala mpango wako wa kula. Hakuna anayejua watoto wako ada italipwaje.

So dont stop. Yaani hata iweje, hawa mabrazameni na masista du wa JF wanaoandika kila siku niamini mimi hawana majukumu, ofisini kuna routers lakini hata kuangalia miziki youtube siwezi. Nimenyimwa huo muda.

Na pia nakuambia mpambanaji mwenzangu "Itafika muda kazi zitakua nyingi hutajua uchague ipi"

Pia kuna vitu nimeficha kwa sababu dhahiri.
Mwishoni umezingua kwa waganga kufanya nn sasa!??
 
Yaani tunakubali Mungu ndio katuumba, ila kuomba msaada tuende kwa waganga, unazingua!
 
Kwa ninachokijua mimi dunia inapoelekea kutokana na kukua kwa sayansi na teknolojia ajira zitapungua kutokana na uvumbudi wa vitendea kazi vinavyofanya kazi kwa haraka mfano uvumbuzi wa simu janji,computers,maroboti n.k inapelekea baadhi ya kazi kuadimika.
 
well said

Ajazingatia kuna ambao kazi zao ni projects, ukiitwa unapotea hata miezi sita na ukirudi unakaa muda mpaka itokee. Ajazingatia kuna wanaofanya real estate yeye kazi ni mwisho wa mwezi, ajazingatia kuna wenye shift usiku kuanzia saa nne mpaka saa kumi mchana yupo free. Amezungumzia feld yake tu..
Huyu ni kijana wa hovyo
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Nyinyi wana wenye perepeche nyingi ndiyo miyeyusho sana. Online mnatuambia mnatengeneza pesa, tukawa tukiwaomba mtuelekeze mnatulia bati.

Yaani mnachoenjoy ni kuona watu wapo online hawana mishe.
Ukweli ulio uchi kabisa
 
Back
Top Bottom