Kuna siku karma itaongea kwa chuki na fitina anazofanyiwa kijana huyu!

Hahaha we jamaaa umeongea kwa uchungu sana pole aisee.....anzisha maandamano kaka
 
nachekaga sana kwa aibu kila nikiona wadau wanaleta lawama za kitoto namna hio

Waambie google ni kampuni kubwa kuliko kampuni zote zilizopo Tanzania ukiziunganisha ziwe pamoja.. security ya google ni zaidi ya security ya kampuni zote za Tanzania ukizichanganya pamoja..

Ku hack google kwa m Tanzania ni zaidi ya haiwezekani
 
Tuache ushabiki Heb tuongee kitaaalam zaidi,Kuna kitu kinaitwa "Subscribers"...Put all others factors constant(non subsribers).
kila unapo subscribe channel fulani ikitoka video mpya tu anapata alert...mtu mwenye subsribers 3.3M(Diamond Platnumz) na mwenye 200K(Kings Music Records, am not sure why hakuitoa kwa account yake ya Alikiba, yenye 622K Subsribers) hawawezi kua sawa...kwa hesabu ya haraka haraka mwenye 3.3M anahitaji Subsribers wake waitazame mara 2 tu @ kufikisha viwers 6.6M while wa 200k anahitaji waitazame mara 33 @ kuzifikisha izo 6.6M...Sasa u do the math huyo mwenye 3.3M subsribers wakiitazama mara 33 io video hali itakuaje...hua nikimuona Harmonize akihamasisha watu wa Subscribe channel yake namuelewa sana..Harmonize na Rayvan wana 1.5M @...hawa kidogo ndo wanaweza mkimbiza Diamond tena kwa Mbaaali ila hawa wengine kila siku watakua hawaishi visingizio na kulalamika while Majibu yapo peupe..lets Subscribe na tuhamasishe watu wengine ku Subscribe ili kuwa boost wasanii wetu...mimi nime subscribe Zote hizo ikiwemo ya Alikiba with the exception ya Kings Records(I didn't know abt it) so ilipotoka sikupata alert...Singeli ya Rayvan,Lavalava, Bedroom ya Harmonize zote nlipata Alert Mubashara..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Essay kama izi uwa nasoma mstari wa kwanza nawa mwisho tu..kujua uwezo wa akiri ya mwandishi 3/10

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
Kuna mtu amekuanzishia Uzi modes wakupige ban kisa unajiita shetani.
 
Hayo ndo maneno ya kuandika. Siyo mtu anakuja anaandika porojo zake tuu humu ndani. Ilhali jambo lenyewe liko wazi.
 
Suala la kulalamikia kupungua views you tube linatia aibu tasnia nzima ya burudani bongo. Inaonesha namna tulivyo na uelewa mdogo sana na mazwazwa kwa mambo ambayo uki search tu kwenye internet unapata majibu yake. Kibaya zaidi unakuta mpaka uongozi rasmi wa msaanii unalalamika hadharani !!! Ni aibu. Nadhani haya malalamiko inaweza kuwa sehem ya kiki baada ya kurelease. Ila du...aibu !!!
Mmeshaambiwa views zinapungua kutokana na automatic system ya youtube kupitia (audit) views halisi na kutofautisha na feki za wale wanaobonyeza na kuacha. Kuna mtu hapa kaelezea kwa kirefu kwenye uzi mwingine. Ila kwa kifupi mfumo wa youtube hauwezi kuingiliwa kama mnavyodhania. Na kama ingekua hivo hiyo youtube ingeshashtakiwa long time na kufungwa kabisa.
 
Waambie google ni kampuni kubwa kuliko kampuni zote zilizopo Tanzania ukiziunganisha ziwe pamoja.. security ya google ni zaidi ya security ya kampuni zote za Tanzania ukizichanganya pamoja..

Ku hack google kwa m Tanzania ni zaidi ya haiwezekani
Yani kama mwananzengo ana hack, je india huko madogo wanapotengeneza ma apps maelfu kwa siku ingekuwaje? Yani wanalalamila mradi tu wamelalamika.
 
Inasikitisha. Si u google tu unapata jibu la hili swali?
 
Wimbo mmoja thread 400, ungetumia muda ulioandika hii insha kutunga wimbo wako na wewe ungepata hela.
Walau kwenye uzi angeondoa mambo ya views yajadiliwe hayo mengine.
 
Mkuu usiumize akili yako bure hata uelimishe vipi unaonekana team flani tu.
 

Mwenzenu billnass katafuta kiki ya pete....

Endeleeni na mapambano... Kibaya kukata tamaa.

Diamond angekuwa wa kulialia angeshakufa zamani. Kuna kipindi taifa zima lilikuwa against him.

Good ťhing about Him he takes his challenges and turn them to hardworking.

Nyie ndo kwanza mnazidi jazana ujinga.

Tunapotezeana muda.
 
hay
haya kiongozi, umetupatia historia ya diamond. nafikiri kiba alishapambana zamani tu na ndo maana yupo hadi leo, kinachotisha ni kwamba kwanini anafuatwafuatwa mno na wenye mafanikio zaidi yake?
 
Huwa sijawahi kupata jibu why iwe hivyo kwake tu. Anyway ipo siku ukweli utadhihilika

Sent using Jamii Forums mobile app
na hii ndo hoja yangu ya msingi haswaa na ndo nachokitafuta hata mimi maana majibu yaliyopo bado hayaniingii akilini..........na kule kufuatwa fuatwa kila anapotoa kazi kunanipa mashaka sana
 
zi
zinapunguaje? wanakosea wao tu miaka yote hii? upande ule wao hawakosei hata kidogo? na kule kuganda je?!!!!!
 
Wimbo mmoja thread 400, ungetumia muda ulioandika hii insha kutunga wimbo wako na wewe ungepata hela.
mi ndo nimefungua thread hii kumhusu na wala sijazungumzia wimbo mmoja tu, nimezizungumzia mpaka za 2017. karibu sana!
 
umeongea vema mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…