Kuna siku karma itaongea kwa chuki na fitina anazofanyiwa kijana huyu!

Ndio maana nikakwambia kiswahili chepesi lakini umeshindwa kuelewa embu soma tena hapa “......Hayo maswali unayojiuliza kuwa huyo kijana wako watu wanafanya na kusema basi tambua hata kuna vijana wengine nao wanafanyiwa hivyo hivyo.
kwahiyo ni sahihi kufanyiwa hivyo kwa vile kuna wengine wanafanyiwa hivyo?!!!
 
Google / youtube wanaweza wakawa mapimbi kias kwamba vilaza wa kusin mwa jangwa la sahara waweze ku manipulate systems zao ili kumkomoa toz wa kariakoo
Najiuliza tu
dunia hii bwana, kuna mengi mno bado hatuyajui......
 
Essay kama izi uwa nasoma mstari wa kwanza nawa mwisho tu..kujua uwezo wa akiri ya mwandishi 3/10

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
afadhali wewe umesoma hata hiyo mistari yangu miwili; mimi nimeishia kuangalia avatar yako tu na tayari nimeijua akili yako kuwa maji kujaa maji kupwa
 
inafikirisha sana kwakweli
 
Hivi ni rahisi sana kuhack system ya YouTube?

Unaweza kuthibitisha Diamond anahusika?

Alikiba na mashabiki wake wanapenda kulialia, ila sishangai ndio kawaida ya watawaliwa, wanavyokuwa mbele ya watawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
kiongozi upo mbali kweli, kulia watu alikiba?!!!!😀😀😀
 
habarini!
poleni kwa mtikisiko huu wa korona na Mwenyezi Mungu atuepushe, amina! tuendelee kuchukua hatua stahiki tafadhali!

leo ni siku ya 3 kama sikosei nyimbo ya alikiba inatrend namba 01.....views ni kama 1.4M. kuna mambo kidogo yananishangaza:
Hivi unaamini kabisa unaweza kuiingilia na ku-temper systems za Google again and again? Kwa IT Guru kutoka wapi?!

Hawa hawa wa UDSM na DIT including na wa vyuo uchwara vilivyozagaa kila pahala , au ni ma-IT Geniuses wanaojifunza kupitia YouTube Tutorials?!

Yaani, hata kama hutaki kutaja, unaamini mtu kama Diamond ana ubavu wa kuajiri mtu mwenyewe uwezo wa ku-hack na ku-temper systems za Google, kampuni yenye uwezo wa kuajiri any System and Software Engineer popote pale alipo duniani!

Hivi kwanini mashabiki wa Kiba mnashindwa kutumia hata common sense?!

Haya turudi kwa huyo Ali Kiba! Harmonize kaingia kwenye game juzi tu hapa lakini wote wana Instagram Followers 5.2M!! Amezidiwa followers hata na Shilole!!! Hivi Aunt Ezikiel wa kumzidi Followers Ali Kiba?!

Kiba anakuwa vp na followers sawa na Idris Sultan aliyeanza kufahamika juzi tu hapa?!

Hapo sijamtaja Wema Sepetu ambae ni heavyweight in social media compared to Kiba!!!

Wolper?! I mean Jacquiline Wolper anakuwa na Followers 700K zaidi ya wale wa Ali Kiba?! Serious?!

Hata huyo Vanessa Mdee anampigaje Kiba gap la Followers 1M?!

Huyo ndo msanii mnayetaka kutushawishi kwamba anafanyiwa figisu figusu!!! Ikiwa hata Instagram ambako 10MB mtu zinamtosha kufanya following huko nako KIba hana influence, itakuja kuwa YouTube mtu anakutakiwa kutumia bundle ya kutosha ili ku-view video?!

Btw, hivi si ndo nyinyi nyinyi zamani mlikuwa mnasema "...huyu yupo Vevo, yule mwingine mbona kakimbia"! Vp hadi leo Kiba yupo Vevo?!

Fanyeni kazi... acheni kulia kulia na kutafuta huruma ya watu!!
 
Kiba anafanyiwa figisu zipi?! Ile ile ya kuibiwa penseli yake, au kuna nyingine?!
 
Vishabiki maandazi vya kiba vinachuki sana afu vyoye havinaga akili,vipo huko dunia ya mwisho kabisa
hua naviangaliaga tu afu nacheka,eti vinalalamikia You tube😂😂
Vinahisi huko kuna mabwazee kama wao.

Si bure vinafuga ujinga tu kichwani mwao
 
unafikiri kwenye hilo eneo wewe unajua zaidi kuliko yeye?!!!
haya, kwahiyo hapo tunaweza kusemaje pale ambapo kina harmonize, mdee wanaomzidi followers kiba kazi zao zinazidiwa kiurahisi tu na kiba katika views?

kwanini kazi za huyu tu ndo views zinaganda na kurudishwarudishwa kila mara?!!!!
 
Ulimwwngu unataka videozilizo live kama anavofanya Mond na Konde. Huyu alikiba anarekodi kama mlemavu, muda wote amekalia makochi kwenye magorofa analembua macho hahahha
aisee!!!

kwa hali hii tuna safari ndefu ya kuimaliza korona!
 
acheni kulia lia mnaboa ile mbaya alafu mnaonekana vilaza
 
alisikika mkata viuno mmoja aliyepigwa bumbuazi na anayejifunza kuongea.....
 
hay

haya kiongozi, umetupatia historia ya diamond. nafikiri kiba alishapambana zamani tu na ndo maana yupo hadi leo, kinachotisha ni kwamba kwanini anafuatwafuatwa mno na wenye mafanikio zaidi yake?
Ashukuru hata anafuatwa fuatwa.... Asipofuatwa ndo atapotea kabisa. Hao mnaowaita haters ndo mtaji. Ndo wanaotizama videos zake na kuangalia nini kafanya.

Kijana wenu sema ni mzembe sana..hamek movies, si mtu wa kutengeneza movements. Kawimbo kamoja mwaka mzima.

Upande wa pili huku kwenye mapenzi ndo alishafeli kabisa. Opportunty yeyote Diamond anayoipata iwe ni mpenzi mpya,kuachana,kuoa tena,kuzaa tena, zote hizo kwake ni movements za hela...

Alafu ukishakuwa celebrity ni public property. Kiba sio mali yake tena ni mali ya jamii. Hutaki afuatiliwe arudi kigoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…