Kuna siku Moja tena hii nchi itarudi mikononi mwa wazalendo kama Magufuli

Kuna siku Moja tena hii nchi itarudi mikononi mwa wazalendo kama Magufuli

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Siku zinakuja hii nchi itarudi tena mikononi mwa wazalendo wenye uchungu na rasilmali za nchi na wananchi wake.


Kama ilivyokua Magufuli aya mambo ya unyonyaji utaisha kukusanya kodi inaishia mifukoni mwa wachache litaisha.

Mda utafika maana tumeshawajua wanamtandao vizuri na propaganda zao na walivyotia mifumo yote ya nchi Mifukoni mwao litafika mwisho siku inakuja Magufuli aliacha ametuonyesha hii nchi inapesa sema zinapigwa na mafisadi watu wachache ndo wanakaa wanapanga kulipa wenza wao pensheni subirini siku inakuja
 
Kwa ulinzi unao ahidiwa na wajeda, hamasa ya maandamano itakuwa juu sana

Hata kama hakuna ulizi sasa nani anaogopa polisi.

Kwasababu kwenye maandamano polisi wanatumia Mabomu ya machozi na Virungu wakati wananchi wanatumia mawe

Polisi wanalazimika kufuata sheria kila wanachokifanya wakati wananchi wanatupa mawe hovyo hovyo tu

Polisi watashindwa kujigawa vituo vya kupiga kura au kuzuia vurugu

This time around wamekamatika pabaya
 
Back
Top Bottom