Kuna siku Somalia itakuja kuwa nchi ya amani na Tanzania kuwa Somalia ya zamani

Kuna siku Somalia itakuja kuwa nchi ya amani na Tanzania kuwa Somalia ya zamani

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kwa haya matukio na wakizidi kutawala kwa mkono wa chuma.

Najaribu kuwaza kwa jinsi wanavyofanya matendo ya ovyo wakijichia jina la AMANI.

Kibaya zaidi hawa somi alama za nyakati kuwa vipofu wanaokula nao wamewashika kwenye steji ngumu na watakuja kutoa maamuzi hatari.
 
Back
Top Bottom